G Godyp Senior Member Oct 20, 2011 182 56 Mar 31, 2012 #1 Jaman wapi jerry muro au category yake haipo! Nitoen ushamba jamani maana hili jembe nazkumbuka habari zake! Hoja na swali mezani! Attachments jerry-muro-732330.jpg 69.5 KB · Views: 78
Jaman wapi jerry muro au category yake haipo! Nitoen ushamba jamani maana hili jembe nazkumbuka habari zake! Hoja na swali mezani!
Gama JF-Expert Member Jan 9, 2010 13,266 4,716 Mar 31, 2012 #2 Kazi komba murungura tuuuuuuuuuuuuuuuu na kujifanya hodari wa habari, hana lolote.