Ajali Nyingine Tena Arumeru Mashariki Kuamkia Leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali Nyingine Tena Arumeru Mashariki Kuamkia Leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Puppy, Mar 31, 2012.

 1. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Ukiwa unaelekea Mjini Ukikaribia Chama. Upande wa Kulia Kuna Lori limewaka moto kichwa chake chote.

  Mizigo imesalimika haijaungua.

  Huu ni mfululizo wa Ajali za ajabu ndani ya wiki mbili hizi, ikumbukwe jana lori lingine liliparamia daladala na kuua pale Kilala
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ajali sasa zinaonesha zimeshazoeleka,duh
   
 3. R-CHUGA

  R-CHUGA Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Je ni kafara ama ni kitu gani?
   
 4. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kazi ya Prof. Maji Marefu....
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Kamati ya ufundi
   
 6. S

  SI unit JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ndio madhara ya Taifa lenye viongozi wanaotegemea nguvu za giza, tukianzia na mkuu wa kaya.
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndiyo shida ya kuwaleta wanga kwenye kampeni.

  Wito kwa wanaArumeru kufunga na kuomba hiyo roho chafu ya kumwaga damu ishindwe kwa jina Yesu Kristo aliye hai, tunaiseta na kuiharibu kabisa kwa jina la Yesu. Kuchapwa kwake pale msalabani sisi tumekombolewa, hivyo tunavunjana kila roho mbaya inatawala anga la Arumeru sasa hivi kwa jina la Yesu Kristo na tunzkukzbidhi uchzguzi huo eeeeeh Mungu uliye juu mahali patakatifu pa watakatifu. Simamia uchaguzi mgombea aliyeshindwa ndiye atangazwe, epusha roho za marakano Baba ambazo zimetamalaki.

  Ameeeeni.


  Ona sera za CCM!!!!!!!!!
  Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
  Pigaaaaaaaaaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
  Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
  CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee.
  Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 8. B

  BLB JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  pumba,
   
Loading...