Naomba kujuzwa juu ya shamba la miwa mwekezaji kakimbia kwa kushindwa gharama na lengo ilikuwa awe anauza nje lakini uendeshaji umemshinda na sasa kuna kampuni mama toka Maurit..
Na inachukuwa...
Chadema candidate in Arumeru East PM by electiom .Mr Jushua Nassari has be declared the winner this morning .Accoriding to Arumeru East returing officer Mr T Kagenzi Mr .Nassari got 32,672 votes...
Wanajamvini kuweni makini na Airtel, juzi tarehe 31/03/2012 niliweka tshs 2500 na kujiunga na kifurushi, nilidawnload 20mb pekee, kesho yake tarehe 1/4 nili-connect kuendelea na kusoma habari kama...
Jana wakati wananchi wa Arusha na vitongoji vyake wanasubiri kwa hamu matokeo ya uchaguzi wa jimbo la Arumeru Mashariki ni kituo cha SUNRISE RADIO FM kilifanya kazi kilichopaswa kufanya kama...
Nimefurahi kuona vijana wakiwa na furaha na upendo wa dhati kana kwamba sasa mbingu imeamua kufunguka si hivyo tu kuonyesha ccm tofauti ya joshua nassari aliegombea jana na joshua wa leo naomba...
Kana kwamba bado awaamini mungu yupo na ndie anaempeleka kijana wetu joshua pale dodoma
kundi la wana ccm limeibuka na kudai kijana wao hapo juu amewahujumu na hii ni kutokana
na kukanganyika...
Hawa Jamaa tangu jana wakati upigaji wa kura unaanza walikuwa wako live na Arumeru Mashariki hatua kwa kwa hatua, ikaendlea hadi kwenye matokeo ya awali, lakini kwenye kutangaza matokeo ya mshindi...
nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari za ITV lakini nashidwa kujua nikusoma awajui hawa watangazaji wao au nini.
nasema hivi kwasababu kila mtangazaji wao huwa anashidwa kutamka jina la...
naona watu tunamshambulia lowasa na mkapa ila mtu mwingine amabae imekula kwake ni sita na hilo ni pigo kubwa kwa kundi la akina nape na hapa jk amecheza karata nzuri sana sababu sitta ndie...
Wakuu naomba msaada wenu.
Nina dogo anasoma Diploma ya Rasilimali Watu pale Ustawi wa Jamii anatafuta sehemu ya kufanya Mafunzo kwa Vitendo kwa muda wa miezi miwili. Amalizapo hayo mafunzo wa...
Mimi niliye mdogo miongoni mwao wote naomba kuleta wazo hili. Katika zama hizi za siasa za vyama vingi ni vizuri tuwe waagalifu na hila na ujanja wa kugawa sharika na waumini wetu kupitia...
Katika hali ya kustaajabisha katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu TBC wametangaza habari za mzee Mkapa kumpigia ka;mpeni Sioi huko Arumeru mashariki lakini katika kuweka picha...
Kaini alimuua Abel kwa siri kwasababu ya wivu nakutafuta. Kaini alikuwa hapendwi hivyo akaamua kumuua Abeli aliyekuwa anapendwa kwa siri!!!
Baada ya mauaji hayo damu iliyomwagika ilimulilia...
Hello Great Thinkers.
Ninayofuraha kuwaambia ndugu zangu watanzania wenye kutafuta mafanikio nje ya nchi nina michongo ya UK. Kwa habari zaidi ni pm au tumia georgeb2004@gmail.com. Nafasi zipo...
Jeshi la Polisi nchini limemsimamisha Kamanda wa Polisi wa wilaya ya Serengeti baada ya kukutwa akichimba madini ndani ya hifadhi ya Serengeti yeye mwenyewe pamoja na wenzake. Habari zaidi mziweke...
JITIHADA za kupunguza watoto wa mitaani zimeonekana kugonga mwamba baada ya idadi ya watoto wanaoingia jijini Dar es Salaam wakitokea mikoani kuongezeka kwa kasi, huku wengine wakisafiri kwa...
Lynn home health aide accused of strangling case worker sentenced to 15 months Originally Published on Friday, May 27, 2011 By Karen A. Kapsourakis / For The Item
SALEM - A Lynn home health...
Nimekutana na hii post kwenye uzi mmoja humu JF: JF Exclusive: CHADEMA Yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa Jabulani: Leo nita Malima hadi asubuhi! Simba wa...
katika hali isiyokuwa ya kawaida gazeti la ccm limeshindwa kuandika habari ya kuipa ccm uwezekano mkubwa wa kushinda kama ilivyo kawaida yake badala yake limeandika mchuano ni mkali kati ya ccm na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.