Kamanda wa Polisi asimamishwa kwa kuiba madini

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
20,662
20,416
Jeshi la Polisi nchini limemsimamisha Kamanda wa Polisi wa wilaya ya Serengeti baada ya kukutwa akichimba madini ndani ya hifadhi ya Serengeti yeye mwenyewe pamoja na wenzake. Habari zaidi mziweke hapa

Source: Star TV
 
Back
Top Bottom