Mtoto afa akinywa viloba vya konyagi

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Mtoto Fatma Omary 7yrs amekunywa viloba 9 vya konyagi. Tukio limetokea Tanga.
 
Sijuhi kwanini watoto hupenda radha ya pombe? Dawa hasa syrup hata kama ni tamu watoto huwa hawapendi, jaribu kumpa konyagi mtoto mwenye umri wa miezi 6 uone anavyotabasamu
 
Sijuhi kwanini watoto hupenda radha ya pombe? Dawa hasa syrup hata kama ni tamu watoto huwa hawapendi, jaribu kumpa konyagi mtoto mwenye umri wa miezi 6 uone anavyotabasamu

Duh mkuu hiyo ya mtoto wa miezi 6 ushawahi kujaibu nn? dah umenichekesha sana
 
aliiba viroba hivyo dukani kwa wazazi wake akajifungia chumbani akaanza kuvinywa kimoja baada ya kingine na alipomaliza akazidiwa.
 
Nimesikia radioni mama ana kiduka anauza na pombe za kienyeji huyo mama alimwacha huyo binti nyumbani kumbe akatoroka na kuingia dukani na kuchana kiloba cha kwanza na kunywa kisha akaendelea kugida mpaka tisa mama alipo fika kakuta mtoto yupo hoi ameshika kiloba kimoja akajaribu kumnywesha maziwa lakini wapi.
 
Back
Top Bottom