Wanao hitaji michongo ya kuja UK wanipm

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Hello Great Thinkers.
Ninayofuraha kuwaambia ndugu zangu watanzania wenye kutafuta mafanikio nje ya nchi nina michongo ya UK. Kwa habari zaidi ni pm au tumia georgeb2004@gmail.com. Nafasi zipo chache first come first served.
 
mkuu unataka kuweka threads ngapi ili ujione umesheherekea siku ya wajinga?
 
mmmh! Huyu kameruni kweli kachachamaaa! Kawapa tenda weusi wenzetu sasa kuwapeleka huko uk! Haya sasa mnaotaka kutoka fasta kazi ni kwenu!
 
Soma wewe ? Acha kureta utoto wako wa facebook usije ukamwanaasha kwenye pepar?
 
Hv bado kuna wapumbavu kama wewe wanamipango
Ya kubeba mabox utumwani. Emancipate yourself from mental
Slavery. Bob Marley
 
nadhani Mtoa Hoja ungeeleza kuna nini cha kufanya huko UK na ukasema una hiyo michongo, lakini kama kuja tu kwa Cameroun na kuanza kuzagaazagaa tu, bila kuwa na mchongo
 
Back
Top Bottom