Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siasa ya kuingiampaka kwene michezo ni vituko sana nasikia redio one mh rais wa tff ametangaza kutokubaliana na kujiuzulu kwa mwenyekiti wa ligi na anaamini bado ana haki ya kuendelea kuongoza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Lowasa ananikumbusha mtume paulo alipokuwa anaenda kwa warumi anakuwa mrumi akienda kwa wagalatia anakuwa mgalatia.sasa hivi lowasa akiwa meru ni mmeru anataka apewe na ushili akiwa monduli ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika hali ilionyesha kuchanganyikiwa na uchaguzi madiwani nane wa viti maalum kupitia tiketi ya CCM walikuwa katika wakati mgumu kutetea viti vyao sababu uwepo wao ulikuwa unategemea jimbo kuwa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
kwa ushindi wa chadema arumeru am sure i can be a president 2060
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nimehisi usingizi lakini nikaona sitomtendea haki mzee wangu Tibaigana amenifurahisha sana sana wakati alipoulizwa swali kuhusu mchezaji wa yanga kuchezeshwa na kujiuzulu mwenyekiti wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UNIPE MAWAZO KWA STYLE HII TUNAFIKIRIA KUOA NA TUZAE KWELI??
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Inasikitisha mji mkubwa kama Dar es Salaam, ambapo ilitakiwa kuwa kitovu cha mabadiriko ndiko haswa imekuwa ngome ya CCM, hivi ni kweli maisha ya wana Dar haswa eneo la Vijibweni maisha kwenu ni...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
pumba lazima badae zijitenge, tulianza na Mungu na tumemaliza naye, wao walianza an majimarefu na wamemaliza na majimarefu. na leo imethibitika kuwa nani kachanjwa na majimarefu hadi kunako kwani...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nape hajaandika maneno mengi kwenye ukurasa wake wa facebook, ameishia kunena 'ASIYEKUBALI KUSHINDWA.......' sijui kama kuna mdau amepita kwa Livingstone Lusinde,je amekuja na tusi gani?
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama mme-note wakuu kumetokea tatizo la kukosekana kwa magazeti ya MWANANCHI kwa wauzaji wa kawaida mitaani.. Nimeulizia nikaambiwa kuna mgomo toka kwa baadhi ya maajenti wa gazeti hilo.. Mpaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juzi nilipata bahati ya kutembelea Kenya nilikuwa nahudhuria mkutano fulani pale Nairobi. Katika matembezi mtaani nikakuta tayari wenzetu wameanza kujenga fly overs katika makutano matatu na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
With tourism now officially recognized as second largest source of foreign exchange after remittances from Ugandans working abroad, the Ugandan government is considering reviving its national...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
January Y. Makamba It's now official: Congrats Chadema and Ndugu Nassari for winning a bitterly fought election. Wana-CCM msife moyo. Jitihada haiondoi kudra. Nape Nnauye Hongereni watani...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Yaan alikuwa UK anaunganisha Botswana kwenye sherehe za kuzaliwa Chama! safari hii haendi kuxika songea?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati wa matukio kama ya ucgaguzi na sensa ndia hali halisi ya kutojua kusoma na kuandika inapojitokeza hadharani. Msimamizi wa kituo cha Zahanati huko Arumeru alisema "Kwa kweli suala la kusoma...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Hungarian President Pal Schmitt resigned from office this morning after he was stripped of his PhD for plagiarizing his thesis.An academic committee found this week that 17 pages of his 215-page...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Peopleeeees!namn kuwa umeitikia vyema,wana chadema wote kwanza tumshukuru mungu kwa ku2pigania na kuiondoa ccm arumeru,licha ya ushindi huu mzito ninaomba tucjisahau elimu ya uraia iendelee...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama watanzania na wana wa nchi hii hatuwezi kuendelea tena kuwa watazamaji!lazima tufanye maamuzi tusipofanya maamuzi sahihi,tutafanyiwa maamuzi ya hovyo na hapo ndipo itakuwa kilio na kusaga...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Gazeti la RAI lilichapisha utafiti ambao ulileta mashaka kwa wengi na kupotosha kwa kiasi kikubwa kuhusu atakayeshinda uchaguzi wa arumeru mashariki.Tunawaomba mara baada ya uchaguzi kufanyika na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom