mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 943
naona watu tunamshambulia lowasa na mkapa ila mtu mwingine amabae imekula kwake ni sita na hilo ni pigo kubwa kwa kundi la akina nape na hapa jk amecheza karata nzuri sana sababu sitta ndie aliefungua kampeni tena ya kata sio ubunge ya kirumba na kufunga na kuambulia patupu na lowasa na mkapa hao inajulikana hapa makundi yote chali ni bora sitta asingekwenda kirumba amejiaibisha....
Ila sasa ndo wajue hata wamweke nani watu ccm wameshaichoka tusubiri vita ndani ya chama wote sitta lowasa wanautaka ugombea urais kupitia ccm na wote hoi...
Ila sasa ndo wajue hata wamweke nani watu ccm wameshaichoka tusubiri vita ndani ya chama wote sitta lowasa wanautaka ugombea urais kupitia ccm na wote hoi...