Anaeleta mada ya ushindi kuanzia sasa naomben mumuite mh joshua nasari na sio j.nasari pls | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anaeleta mada ya ushindi kuanzia sasa naomben mumuite mh joshua nasari na sio j.nasari pls

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 2, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,375
  Likes Received: 5,662
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi kuona vijana wakiwa na furaha na upendo wa dhati kana kwamba sasa mbingu imeamua kufunguka si hivyo tu kuonyesha ccm tofauti ya joshua nassari aliegombea jana na joshua wa leo naomba niwaombe kwa heshima na taadhima yoyoyte atakaeleta mada ya kumpongeza naomba aanze na mh joshua .n ...mungu akupe nguvu akupe uweza wa kufanya yale yote uliyoyatangaza wakati wa uchaguzi si hivyo tu nakutakia ndoa njema na mipango mema ya maisha yenu kwa huyo mtaarajiwa

  ukiwa kaka yangu wa karibu na kama mzoefu wa dodoma kumekuwa na matatizo mengi sana sana ya ndoa hasa kwa wabunge vijana wanaofik dodoma na hili limechangiwa na mh mmoja mwenye mabasi kadhaa kutuletea wale dada zetu toka mikoa mbali mbali wakati bunge likitarajiwa kuanza ..nisingependa kukuona nakukurudisha arumeru kwa viroba labda bahati mbaya lakini wewe ni kijana unaitaji mtu wa kukusaidia..wa kukupa raha wa kukupa nakshinakshi na enzi za dunia hii ..mema ya nchi unakula hapa hapa duniani mkuu na hilo la ubunge ni moja tu soma baaibo tukifa akuna nchii huko kuna mbingu ..so usisubiri ukale mema ya nchi huko mbele kuna mbingu pekee naamini kama kijana mwelewa umeelewa unatakiwa ufanye ni cha haraka .. Na si kushinda na chips mayai chips kuku kwenye bar zetu....
  Nisingependa hili likutokee kwako kama kijana umefika wakati wa wewe kuchukua jiko na kutafuta mkaa uangalie utalikokaje

  mwisho nakutakia mafanikio mema mungu wa mbingu aendelee kufungua mbingu alizozifungua pale arumeru

  last b4least

  jitahidi kumtanguliza mungu kwa kila jambo yeye ndie mweza yote anabadili chai ya sumukuwa maji matakatifu
  nakuombea hekima /mafanikio bora
  nakutakia heri upate mke mwema na si mwema mke
  nakutakia heri upate mke bora na si bora mke
  nakutakia uwe na hekima kwenye ndoa yako
  nakuombea baraka za bwana kuongeza dunia zikakushukie ijalishi utaleta wangapi ...
  Mwisho upendo na amani na heshima kwa waliokusaidia na kukupongeza na hasa maadui zako wa siasa uwe nao na amani na kama si kuanza kuogopana kuwekeana virus ningeshauri hata mkae na sioi mpongezane kwa chai kila mtu alete majani yake aijalishi unakunywa chai bora...ningependeza unywe green lebel kama hakikisha ufungue mwenye pakiti
  ogopa kula ama kunywa ovyo kwenye sherehe zisizo na msingi
  kuwa makini siasa ni mchezo mchafu sio kila sherehe lazima uhudhurie utakuwa mskule wa wana arumeru mwisho wa siku
  tafuta mtu mmoja utakae muamini kwa wakati huu kama ndugu yako na zaidi ya ndugu huko dodoma kumeharibika ...kuna itaji. Imani ...,

  mwisho muamini mungu kwa kila jambo anaweza

  all the best mh joshua nassari
   
Loading...