Aangalizo kwa CCM baada ya kumwaga damu Mwanza na Mbeya!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aangalizo kwa CCM baada ya kumwaga damu Mwanza na Mbeya!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamakula, Apr 2, 2012.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kaini alimuua Abel kwa siri kwasababu ya wivu nakutafuta. Kaini alikuwa hapendwi hivyo akaamua kumuua Abeli aliyekuwa anapendwa kwa siri!!!

  Baada ya mauaji hayo damu iliyomwagika ilimulilia Mungu kutoka aridhini na kuleta hasira kali.

  Napenda kuwambia kuwa CCM mtafakari upya baada ya kumwaga damu kwani mulianza Igunga na sasa mumekata Wabunge wanasio na hatia na hivyo hasira imewaka Taifa Zima hakuna atakaye vumilia uonevyo huu!!

  Wakati hayo yakiendelea .musije mkafanya makosa ya kuchakachua kura Arumeru kwani hakuna atayevumilia uonevu huu!!.
   
 2. A

  ATA Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Watanzania tupinge kwa nguvu zote uonevu wa aina hii na mwingine wowote ule.
   
Loading...