Gazeti la uhuru laandika "mchuano mkali ccm, chadema

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
katika hali isiyokuwa ya kawaida gazeti la ccm limeshindwa kuandika habari ya kuipa ccm uwezekano mkubwa wa kushinda kama ilivyo kawaida yake badala yake limeandika mchuano ni mkali kati ya ccm na chadema.
 
Eti ccm imetamba vijijini na CDM imetamba mijini. Hata mbuzi wakati wa kuchinjwa huwa wanahangaika sana
 
Mwenyewe nimesikia kwenye uchambuzi wa magazeti nikashindwa kushangaa kwani kwani karibia kata 14 kati ya 17 ccm ilikuwa imeburuzwa sasa hapo mpambano mkali unatokea wapi?
 
Wanamuwasho sehemu hao wameshindwa kueleza bayana kuwa hali ilikuwa tete kwao!
 
Nasubiri kesho sijui wataandika nini...si ajabu hata habari ya matokeo wasiipe kipaombele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom