Mafunzo kwa vitendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafunzo kwa vitendo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Foundation, Apr 2, 2012.

 1. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Wakuu naomba msaada wenu.

  Nina dogo anasoma Diploma ya Rasilimali Watu pale Ustawi wa Jamii anatafuta sehemu ya kufanya Mafunzo kwa Vitendo kwa muda wa miezi miwili. Amalizapo hayo mafunzo wa vitendo ndio itakuwa mwisho wa program yake hiyo.
  Wakuu mweenye msaada wa aina yoyote ili kumwezesha huyu dogo tafadhali msaidieni.

  Asanteni

  Angalizo:Kama huna cha kuchangia ni bora kukaa kimya
   
Loading...