Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni ;mwigulu nchemba alitafuna pesa za hongo za wananchi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Kana kwamba bado awaamini mungu yupo na ndie anaempeleka kijana wetu joshua pale dodoma
kundi la wana ccm limeibuka na kudai kijana wao hapo juu amewahujumu na hii ni kutokana
na kukanganyika wenyewe kwa wenyewe kwamba kijana alipokea burungutu kubwa kugawa
kwa vijana na kuwaahonga wazee watupe makashahada yao lakini pesa alizokuwa anatoa ni ndogo tofauti na alivyoelekezwa na kuishia vijana wale kuamia chadema na kutangaza sasa tunataka haki itendeke

simjui sana kijana huyu ila kwa maoni yangu na vijana na wazee mliokosa kazi hapo lumumba kukusanyika kujazana ujinga ni wakati wa sasa wa kufikiria kwa nini madiwani wote wameshinda chadema na je urais wa 2015 kuna dalili ya kuupata tena..acheni kujitafutia sababu za kijinga na kishenzi mnakaa kama vile mmekosa kazi hapo nje embu nenden kaleeni watoto wenu tafadhali

sautii ya watuu sauti ya mungu
kama waamini mungu yupo sema amen...nakukaribisha kwenye party ya kumpongeza kijana wetu mh.n.joshua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom