Shamba la miwa la bagamoyo na athari zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamba la miwa la bagamoyo na athari zake

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by haki na usawa, Mar 31, 2012.

 1. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Naomba kujuzwa juu ya shamba la miwa mwekezaji kakimbia kwa kushindwa gharama na lengo ilikuwa awe anauza nje lakini uendeshaji umemshinda na sasa kuna kampuni mama toka Maurit..

  Na inachukuwa fursa hiyo lakini ikataka eneo kubwa zaidi na kibaya zaidi wananchi hawajui juu ya mabadilishano haya na pia ongezeko la eneo linalohitajika na pia serikali inataka kuwekeza kama asilimia 25 lakini wenye maeneo hawajui je ni haki? Au ndo kuwapa wawekezaji kila zuri na kuwafukuza wananchi katika mashamba yao na maeneo yao ili kumpisha mwekezaji?

  Je wananchi wasubiri kunyanyaswa kama wa Mbarali-Mbeya? au wafanyaje kuzuia kunyang'anywa maeneo ili kumwongezea mwekezaji?
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Wewe unauliza wananchi wafanyeje!, haya tueleze serikali ifanyeje ili justice itendeke na wananchi wapate maendeleo.
   
 3. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Let's get our politics right kwa kuendelea kuwa na ccm madarakani tegemea utumbo mwingi sana nchi hii
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  vitu vingine vinatia hasira sana.......................
   
 5. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Bagamoyo ndiko anakotoka Mh Rais mpigie simu umueleze afanyaje
   
Loading...