ITV na Radio One | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV na Radio One

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Igabiro, Apr 2, 2012.

 1. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa Jamaa tangu jana wakati upigaji wa kura unaanza walikuwa wako live na Arumeru Mashariki hatua kwa kwa hatua, ikaendlea hadi kwenye matokeo ya awali, lakini kwenye kutangaza matokeo ya mshindi naona walikuwa na matatizo ya mitambo maana hata hawakujiunga tena, sasa sijui ni hofu ya CCM kuangushwa au coverage ilikuwa ni ya siku moja tu.
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Wameitangaza leo saa 2 asubuhi kama breking niuz wakati wengine tokeo tylilipata saa 5 usiku jana
   
 3. f

  furahi JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  ITV ni wanafki sana hata uchaguzi mkuu ilikuwa hivihivi, we fikiria TBC ambayo ni ya CCM wametangaza ushindi wa CDM mapema asubuhi lakini ITV bado walikuwa wanatangaza "matokeo ya awali" wapuuzi sana
   
 4. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,414
  Likes Received: 1,974
  Trophy Points: 280
  Mie mnafiki Masako aliniacha hoi jana alikuwa akiwakebehi wale waliokuwa wakishangilia ushindi wa jimbo mojamojaa(CDM) halafu yakafuatia matokeo ya nyumbani anakotokea Siyoi akaanza kuyashabikia kwa nguvu zote kwamba nyumbani ni nyummani huhitaji hata sera.Kifupi Masako na wenzio kama wewe mnachekesha.
   
 5. n

  namweni Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  suala sio upuuzi, unajua level ya technologia nalo linasumbua, sema basi tuu wangeweza kujiunga na wenzao tbc na wakatoa matokeo wakati yakitangazwa, naomba tusiwalaumu kwani jana walijitahidi sana kuleta kila kinachoendelea kutoka kule.
   
 6. n

  nanyenje New Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mujue wao nao wanatumia satelite kulusha matangazo tufikiri hilo kwanza.
   
 7. H

  HAFSA1984 Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAMANI itv waliogopa kutangaza habari za ushindi wa cha cha chadema kwa sababu itv ina ujiarufu wa tehe tehe tehe tehe
   
 8. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Masako ni CCM pure aligombea kupitishwa na CCM kwenye kura za maoni jimbo la Ulanga Magharibi akapigwa chini na waziri wa afya Dr Haji Mponda.Jana kwenye matokeo ya awali kuna sehemu CCM walipata kura 200 na karibia sehemu 4 dhidi ya CHADEMA waliokuwa wanapata kati ya kura 30 na 50 akawa anasema kuwa CCM wamepata ushindi wa tsunami.Yule mzee ni kada wa magamba.
   
 9. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Masako jana Alidhihirisha Upenzi wake kwa CCM, hakustahili kuwa kwenye kile kipindi next time ITV mnatakiwa muangalie mtu ambaye yuko Newtral ushindi kidogo wa CCM kwenye kituo kimoja anasema kwa sauti CCM wameshinda kwa Kishindo akisikia CDM anaongea taratibuuuuuuuuuuuu.
   
 10. m

  msengo2012 Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nadhani fujo ziliwazuia itv kuendelea kufuatilia matokeo ila walijitahidi mapema mchana.
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280

  Babu umri umeshamtupa mkono lakini haachi unafiki. Yani amekuwa kituko mbele ya jamii.
   
 12. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 852
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Wanatukomazia bure mdogo wetu Fatma!
   
 13. m

  motema yapembe Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi hii Tv inaniboa sana hasa wakati wa chaguzi, kazi yao kuonyesha vipindi maalumu vya kampeni za wagombea wa ccm tu! Hawaoni Itv nayo inapoteza mvuto kwa Jamii? Hii ni frusa nzuri ya uwekezaji katika Tv inayo wapa kitu wananchi wanacho kitaka!
   
 14. j

  jjjj Senior Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ila nafikiri tu kulikuwa na tatizo tu la mitambo kwani jana nimeshinda muda wote kwenye Runinga
  nikifuatilia matangazo yalikuwa yakirushwa vyema na ITV nilipo angalia TBC nilikuta wanapiga taarabu
  nikajiuliza kimyakimya kuwa hivi kati ya hizi ni ipi ilipashwa kuwa na full coverage ya chaguzi zetu.

  hakika mmefanya vizuri sana na tunawategemea mzidi kusonga mbele msiwaogope hao CCM
   
 15. Emilia

  Emilia JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani kuweni na shukrani.ITV wamefanya kwa upande wao kuwaita wanafiki tena..
   
 16. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  uoga na U-CCM hamna kuogopa fujo hapa. Mbona SUNRISE RADIO WALIKUWA HEWANI SIKU NZIMA KWANI WAO WALIKUWA ENEO TOFAUTI?
   
 17. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Tuwashukuru kwa disappointment au kitu gani. Miaka 5 ijayo kama hiki kituo hakita behave kama chombo huru kinaweza kuzikwa na hapo wataanza kumlilia Mungu wakati wao wenyewe ndo wachawi.
   
Loading...