Nimelejeshewa nilicho dhulumiwa na Airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimelejeshewa nilicho dhulumiwa na Airtel

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgt software, Apr 2, 2012.

 1. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,217
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Wanajamvini kuweni makini na Airtel, juzi tarehe 31/03/2012 niliweka tshs 2500 na kujiunga na kifurushi, nilidawnload 20mb pekee, kesho yake tarehe 1/4 nili-connect kuendelea na kusoma habari kama kawaida kama robo saa hivi internet ikakata kucheki salio naambiwa hakuna nikalamika sana kwa mafundi wa airtel leo hii ndio wamenilejeshea mb 277mb hata hivyo nimepigwa panga kama 50mb
  Huu ni udhibitisho.

  Name:
  Number: 15444
  Content:
  Mpendwa Mteja.Umefanikiwa kupata huduma ya intanet ya kiwango cha 400MB.Umefanikiwa kupata huduma ya intanet ya kiwango cha 400MB.Kujua salio la kifurushi chako,piga *154*44# na fuata maelekezo.Asante
  Time: 31/03/2012 19:07:37

  Name:
  Number: 15444
  Content:
  Ndugu Mteja ombi lako halikuweza kushughulikiwa.Tafadhali jaribu tena baadae
  Time: 01/04/2012 10:58:33

  ========================
  Rejesho
  ======

  Name:
  Number: 15444
  Content:
  Ndugu Mteja Salio lako ni: 1. INTERNET : 206MB 2. INTERNET : 277MB
  Time: 02/04/2012 10:50:19
   
 2. bayonamperembi

  bayonamperembi JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hata mimi pia ilinitokea ila ni tofauti kidogo na wewe. Jumamosi nilikuwa na salio la 376MB. Jana jumapili nilipoweka modem yangu na kucheki salio likawa linasoma 0bytes na ikakataa kabisa kuconnect. Nikapiga huduma kwa wateja lakini hakuna msaada wowote nilopata zaidi ya kusubirishwa kwa zaidi ya 15 min. na nikaamua kukata ili jumatatu niwapigie tena au niwatokezee ofisini kwao. Muda wa saa 2 usiku nikajaribu kuiweka na kucheki salio nikakuta wamenirejeshea MB zangu 376. Any way wacha niconclude kwa kusema kuwa labda hawakuwa na nia mbaya huenda ni matatizo ya kiufundi.
   
Loading...