Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Juzi katika pitapita yangu nikiwa maeneo ya Barclays Buguruni nikasimamishwa namtu aliyevalia sare kama za polisi FFU nikasimama akaja mlangoni akauliza kadi ya gari nikashangaa FFU na kadi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Utajisikiaje unapomwambia mtu maisha magumu then yeye akakujibu "ugumu wa maisha ni kipimo cha akili yako" Kuna jamaa aliambiwa hivyo na alimind sana! Nawakilisha!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nafuatilia sana hii idara na utabiri wake, ni kama wanapiga ramli tu!!! ingekuwa enzi za imani ya Tomaso ningeenda kuwatomasa.......yafaa watafute sifa mbadala za kuajiri kama vile wanajimu etc
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Makampuni ya mafuta nchini yamewaandikia EWURA kulalamika dhidi kile kinachoonekana ni uchakachuaji wa mafuta ya diesel na petrol unaofanywa na kampuni inayoagiza mafuta nchini, Augusta Energy...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu,tafadhali kwa yeyote anayefahamu mawasiliano ya wahusika hawa Mkurugenzi,Afisa mauzo wa kiwanda cha kutengena vinywaji cha Nyanza cha jijini Mwanza anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MOTO mkubwa umezuka katikati ya jiji la Arusha na kuteketeza maduka nane ya wafanyabaishara pamoja na baa moja ya Pentagoni ambapo vitu vichache viliweza kuokolewa hukui idadi kubwa ya bidhaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeshuhudia wakiwa wanapakiwa kwenye basi kijiji kimoja mbele ya Same,sikuelewa ile picha maana niliona watu wana burgain maeneo ya porini,then kukatoka vijana 2 kwenye chaka na kupanda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa sisi tunaofuatilia kipindi cha bunge tumeshindwa kukiona kupitia star tv. Nadhani bunge limeshindwa kuwalipa ili watuonyeshe? Na ukizingata tbc haina uqwality kwenye matangazo yao?.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Deus Bugaywa Mwanza Wenje akikabidhi misaada Wachangia Elimu ya Nyamagana Joto la uhasama wa Kirumba chini HARAMBEE ya kuchangia mfuko wa elimu wa Jimbo la Nyamagana hapa, iliyoitishwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Video: Video Gallery video transcript EDIT CONTAINS CONVERTED 4:3 MATERIAL A 10-year-old girl has given birth to a healthy baby in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanajamii nyumba za serikali zilizouzwa zinawaingizia faida kubwa waliozinunua (MASAKI-DAR), mfano nyumba moja hupangishwa kwa $10,000 mpaka $15,000 kwa mwezi sawa na 16mil mpaka 24mil...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Watch the advert 'push the button to add drama' on u tube. It made my day. Sorry couldnt place link i am using a phone ,Google to fetch the video. Siku njema.
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Kuna taarifa kwamba nchi za New Zealand, indonesia,Brunei na nyingine jirani ya hizo, zimetahadharishwa juu ya Tsunami inayokaribia nchi hizo baada ya tetemeko la ardhi la kiwango cha 8.9 kuipiga...
1 Reactions
205 Replies
21K Views
Pamoja na mkutano kupangwa saa saba mchana,mda ambao ni watu wengi wapo kazini,shuleni,vyuoni na n.k,mkutano umekusanya watu wengi sana.NA IDADI INAONGEZEKA,Hongera sn wana idodomela kwa kuanza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wandugu, Kama kuna mwana bodi yeyote ambaye alishawahi kufanya kazi au bado anafanyakazi Mradi wa HADO (Hifadhi Ardhi Dodoma), nadhani makao makuu yake yalikuwa/yapo Kondoa; au mradi wa HASHI...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni sekunde, dakika, masaa, siku, miezi na miaka kadhaa sasa tangu mpendwa wetu Hayati Moringe Sokoine, Waziri mkuu wa zamani atutoke kwa ajali mbaya ya gari akiwa safarini kuelekea Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Nilikuwa nasafiri siku moja kutoka Dar kwenda mbeya kwa Basi la Kampuni moja hivi.(Naomba nisitaje hiyo Kampuni).Kutoka kituo kikuu cha Mabasi Ubungo mwendo ulikuwa mzuri kabisa. Nasema mzuri kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wabongo baada ya kuhuzunika kwa mazishi ya kitaifa ya Mareh.Steven Kanumba,wengne wanampango watoto wao wawaite majina ya mareh.Tunapenda u cheap popularity!!Wana Jf ,Je ni sahihi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwasisi wa taifa letu mwl julius k.nyerere alisaidia sana ktk kukuza umoja wetu hivyo taifa lilijengwa vema na uzalendo ulipatikana.mwl alijitahidi kupambana na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mvua zilizonyesha jana zimenikuta maeneo ya Yombo na kunilazimisha kulala Guest kutokana na miundombinu kuharibika na kusababisha hali ya usafiri kuwa mbaya sana, Nimeshuhudia nyumba kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Back
Top Bottom