Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkoa wa Tabora umekuwa ukitumiwa na serikali kufundishia viongozi, kwani viongozi wengi wa mkoa huu huwa mara yao ya kwanza kashika nyazifa zao, wakipata uzoefu tu wanahamishiwa mikoa mingine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natambua elimu ndo kila kitu katika swala zima la kimaendeleo. Hivi majuzi serikali imetenga sh. Bil 150/= kufanya utafiti ni kwa nini wanafunzi wanaferi na wengine wanafaulu ihari hawajui kusoma...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Dr remmy Ongara, Kanumba na Tx William Moshi? kwa upande wangu Dr remmy na Tx Moshi wamefanya makubwa kuliko Kanumba na wangefanyiwa kama Kanumba, maana sijaona cha ajabu alichofanya kuwazidi hawa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Tue, Apr 10th, 2012 Tue, April 10th 2012/ Tanzania | By In2EastAfrica Staff Minister for Labour and Employment, Gaudensia Kabaka Job seekers will not have to possess experience in order...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mapenzi ya watu kwa MAREHEMU, na sifa kem kem kutoka kwa SIRIKALI kuwa MAREHEMU amekuwa balozi wetu nchi za nje kantika tasnia ya kujifanya mtu mwengine, kunampa uhalali MAREHEMU kuwa na urafiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
siku zote uwa najiuliza hili swali? Je ni kweli kwamba Alqaeda inapigana na Marekani? Au ni propaganda inayo tumiwa na Marekani ili iweze kuvamia na kutawala nchi za Mashariki ya kati. Kuna kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakika mambo niliyoyashuhudia leo wakati watanzania tukihitimisha safari ya mtanzania mwenzetu Steven Kanumba, yamenipeleka kwenye fikra nzito za utajirisho. Nilikuwepo viwanjani Leaders na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimetafakari muda mrefu nimekosa majibu yakuridhisha kichwa changu. Hii ni baada ya kushuhudia kwa takrbani mwezi sasa(hii ni kipindi mimi nilipojua, ilianza muda mrefu), hospitali kubwa kukosa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukiimudu vyema Propaganda na Ukaitoa kwa kiwango cha Ufundi, unaweza kuwaaminisha watu kuwa JEHANAMU ndio PEPONI au kuwafanya wayachukulie maisha ya hovyo na ya taabu kuwa ndio PARADISO.
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Sina uhakika kama niko sahihi lakini nimepata tatizo kidogo. Mwenye jibu anijuze. Hivi nikitaka kusema Mungu ambariki Zitto nitasema God Bless Zitto, au kwa wengine nitasema God Bless...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
ki ukweli nimefurahishwa na taarifa ya kutaka kuboresha tbc.na mkurugenzi kasema zinahitajika shs bil 18 .na serikali imesema itakopa nssf. Mi na ushauri kwa serikali kwmb bajeti ya fedha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ingawa majonzi bado yapo kutokana na msiba wa Steven Kanumba, kuna haja ya kuwakumbusha CCM kuwa ahueni waliyoipata hasa Livingstone Lusinde aka Domo Chafu aka Kichaa imetoweka. Lazima tuwarejee...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Maziko ya mastaa,watangazaji,wanasiasa na wanajeshi yanapewa kipaumbele kwenye vyombo vya habari na wanasiasa wanahudhuria kwa wingi lakini ikiwa ni mwalimu,mkulima,mvuvi,mfugaji au bwana shamba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
hawa jamaa wapemba waliopo madarakani(ccm) hawataki kabisa muungano uvujike, wanajua ukivunjika itakuwa imekula kwao Balozi Seif akoromea wapinga muungano Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"the son of a widow needs help" *williammusobi@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
910 Views
O Lord, My God "the son of a widow needs help" *williammusobi@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
988 Views
dau kuna taarifa za moto kuwaka maeneo ya nyuma ya stand ya mabasi za mikoani arusha mjini, ndio zima moto wamefika eneo la tukio kujaribu kuzima ila bado hawajafanikiwa kuuzima
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Watoto wa Karne hii,ni wanajifunza kwa vitendo zaidi kuliko sie tuliokarilishwa wakati tukisoma! Hivi karibuni tumeshuhudia two extremes katika career hapa nchini na jinsi zinavyothaminiwa ! I.e...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wamejiunga na clouds tv live kutoka leaders wanarusha matangazo ya kumuaga Kanumba.
0 Reactions
101 Replies
13K Views
Jamani hapa wilayani MAGU leo kuna upungufu wa magari ya usafiri (kutoka Magu kwenda mwanza) hali ilyopelekea makonda na maDREVA kujipandishia nauli kiholela kutoka Tsh.2000/= hadi Tsh.3000/=...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom