Wabongo bwaana!!Wamejiandaa kuwaita watoto wao majina kama haya;Kanumba,Steven,Lu...

Godwishes

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
640
165
Wabongo baada ya kuhuzunika kwa mazishi ya kitaifa ya Mareh.Steven Kanumba,wengne wanampango watoto wao wawaite majina ya mareh.Tunapenda u cheap popularity!!Wana Jf ,Je ni sahihi?
 
Wabongo baada ya kuhuzunika kwa mazishi ya kitaifa ya Mareh.Steven Kanumba,wengne wanampango watoto wao wawaite majina ya mareh.Tunapenda u cheap popularity!!Wana Jf ,Je ni sahihi?
Ukiwaita hayo majina kwa lengo hilo utaishia kizazi cha wazinzi na walevi! mungu aniepushe na hayo
 
wanaopenda movie zenye viwango vya chini vya uigizaji wa movie za kibongo ambazo ni copy and paste wana mgogoro na lugha ya malkia!hivi hadi niangalie mauzamauza ya akina kanumba za akina johnny depp zimeisha madukani?nakaribisha mitusi yenu nyinyi wazalendo!
 
Kingereza kigumu mtu kakaribishwa kula akasema am closed akimaanisha amefunga haruhusiwi kula masuperstaa wa bongo bana haibuu tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom