Kikosi cha zima moto mnatia kichefuchefu juu yautendaji kazi wenu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikosi cha zima moto mnatia kichefuchefu juu yautendaji kazi wenu!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Apr 12, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Juzi katika pitapita yangu nikiwa maeneo ya Barclays Buguruni nikasimamishwa namtu aliyevalia sare kama za polisi FFU nikasimama akaja mlangoni akauliza kadi ya gari nikashangaa FFU na kadi ya gari wapi nawapi??nikamhoji wewe nani naunashida gani na kadi ya gari yangu?akasema mimi ni asikari wakikosi cha zimamoto ehee???kwahiyo?unataka nini hasa ndiyo akasema nakagua "Fire extinguisher nakama aujalipia stiker unapigwa fini nakama hunavyote unapigwa fini pia!!Wametapakaa utadhani kuna fujo jinsi walivyo valia nguo zao utadhani FFU!basi kwakuwa nilikuwa nakila kitu nikapita.
  Swala lakujiuliza wao kama kikosi cha zima moto kama kweli nia yao ni usalama je walisha washurutisha wenye guest,migahawa,Maduka kuwa na hizo fire extinguisher??je kama wange kuwa makini siwangeanzia huko?shule ngapi hazina vifaa hivuo?vyuo vingapi havina hivyo vitu??office ngapi hazina hizo fire exti'ngs?Office za serikali ngapi hazina fire?je nyumba za NHC zina fire na wanakaa watu wangapi kama nikupata mapato je hivyo sivilikuwa vyanzo vizuri vya kukusanya mapato??Mwisho wange lazimisha kila nyumba yenye wapangaji zaidi ya 3 lazima iwe nakifaa chakuzimia moto kuanzia 2-3!je wasingepata mapato kwa wenye nyumba??kuliko wanavyofanya sasahivi kuleta usumbufu barabarani kuweka misururu milefu pasipokuwepo na sababu?
  My take:Jamaa hawa siyo wabunifu hatakidogo.
   
 2. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Wanachonikera mimi ni pale wakiona mtu anayo wana assume anaweza kutumia hiyo extinguisher.....
  Mytake; Wawe wanatoa na elimu kwa hao wanaowakagua sio kukazania fine tu na kuuza stickers
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  anaboa sana sijawahi kuona watu weupe kichwani kama hawa!!(<O><O>)
   
Loading...