Msaada: Ninahitaji info za miradi ya HADO na/au HASHI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Ninahitaji info za miradi ya HADO na/au HASHI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Keil, Apr 12, 2012.

 1. K

  Keil JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wandugu,

  Kama kuna mwana bodi yeyote ambaye alishawahi kufanya kazi au bado anafanyakazi Mradi wa HADO (Hifadhi Ardhi Dodoma), nadhani makao makuu yake yalikuwa/yapo Kondoa; au mradi wa HASHI (Hifadhi Ardhi Shinyanga). Naomba awasiliane nami kwa njia ya PM, ninahitaji msaada wa info kuhusiana na miradi hiyo miwili.

  Ninajua Mradi wa HASHI bado upo, lakini sina hakika kama mradi wa HADO bado upo au ulikufa pamoja na KAUDO.

  Ninatanguliza shukurani!

  NB: Moderators kama bandiko hili nimeliweka mahali si pake, natanguliza samahani nyingi, niwieni radhi maana sijui nitundike wapi.
   
Loading...