Nasikiaga clouds tv clouds tv. Urushaji wao wa matangazo ya live kumbe sio.Mlobahatika kuona Katika viwanja vya Readers katika kuuaga mwili wa marehemu Steven Kanumba nahisi mna mengi ya kuchangia.
Leo(14/4/2012) nimemsikia mkuu wa wilaya ya kibondo kwenye taarifa ya habari(STAR TV) akiwakemea wanakijiji wa kijiji kimoja wilayani humo kwa kitendo chao cha kugomea kutwaliwa kwa maeneo yao...
Wanabodi
Wanachama watatu waliopeleka pingamizi la ushindi wa Lema mahakamani na kupelekea kuvuliwa ubunge wa kamada wetu wanstahili adhabu. watu hawa pamoja na kutambua kuwa tofuti ya kura kati...
Katika Mhadhara unaoendelea UDSM juu ya mchango wa sanaa katika mustakabali wa nchi zinazoendelea,Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa amejikuta nje ya mada.Mhadhara huo ulioandaliwa na Kigoda cha...
juzi nilikuwa nakwenda morogoro,nimepanda basi la ABOOD,tumefika maeneo ya ruvu darajani,tairi moja la nyuma likapata pancha,tukatelemka ili wabadilishe tairi,wakaanza kazi ya kufungua tairi...
Jana nilifuatilia sana n leo imetaarifiwa kwamba Baraza la Habari limeshutumu vyombo mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii kwa jinsi vilivyoripoti tukio la kifo cha msanii mmoja marufu hivi...
Jamani nikisoma gazeti la haabri leo jana naona picha ya mzee mwenye familia akiapishwa na mh rais niliposoma chini naona wameandika rais akimuapisha katibu tawala mh mariam mtunguja
he sasa sijui...
Afrika iliwahi huko nyuma kupata wanasiasa mahiri na weledi na wazalendo kweli kweli kwa Bara lao na watu wake.
Wanasiasa wa aina ya Kwame Nkurumah na Mwalimu Nyerere ambao mabishano yao ya jinsi...
Heshima kwenu Ndg wana jf!napenda kuwajulisha vijana wote waliopo dodoma kwamba kutakuwa na kongamano la vijana litakalofanyikia chuo cha mipango kilichopo eneo la miyuji jumapili 15/4/2012 saa 7...
jamani wana jf,hebu nisaidieni kuhusu hili; hivi ni kwa mtu alyezaliwa tar 25 july2011,anatakiwa afanye sherehe tar 25 july2012 kwa kutimiza mwaka mmoja au kwa kuanza mwaka wa pili? mimi...
nini hatima yetu na malengo yetu kama vijana.
tangu ufanyike uchaguzi mkuu wa tanzania ni mwaka mmoja na miezi kadhaa sasa imepita nafikiri huu ni muda muafaka wa kukaa chini na kutathmini kipi...
Copies of original newspapers describing the sinking of the Titanic rest in an exhibit at the South Street Seaport …TORONTO - It was the largest ship of its day, described by its creator as...
Tarehe 8 Aprili 2012 kulitokea vurugu za kukatana mapanga kati ya makundi hasimu yanayoshirikisha vijana wadogo wenye umri kati ya miaka 12-16. Makundi hayo ni JAMAICA MOCKERS na WEST LAWAMA...
Wanakitukuza kiswahili majukwaani,
Wanakipigia chapuo vikaoni,
Wakitumia siasani, kura wanapata,
Watatunga sera na Kanuni,
Kiswahili Lugha ya Taifa.
Wanalazimisha mfumo, kifundiswe toka...
KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA MUDA HUU MAENEO
YA UBUNGO KUMEIBUKA MAUZO YA NAKALA MOJA
YA KITABU AMBACHO KINAMUELEZEA MAREHEMU
KANUMBA NA MAMBO MENGINE, KITABU HICHO
AMBACHO MPAKA TUNAPO...
Shame gvnt
inashangaza tangu namsikia anachaguliwa watu walifurahi san sana
sasa imefika wakati tumemchoka amekuwa akipita mikoani kula perdiem
na kundi lake na kuishia kutoa ripoti za wizi ambazo...
Hali ya mtaani ni mbaya wananchi wanauma ugonjwa wa shida mfumuko wa bei uko juu kila cku vitu vyapanda bei hamna wa kumuuliza wala kuhoji 2ko utumwani katika nchi yetu wenyewe
MFANO ndani...
Jamani ndugu zangu mi nina kero moja na nimeona niitolee hapa.
hivi mbona serikali yetu haiipi kipa umbele mambo muhimu juzi nimeangalia news TBC1 kuna mwanamke toka Arusha anahitaji 900,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.