Chadema tishio dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema tishio dodoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkekuu, Apr 11, 2012.

 1. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pamoja na mkutano kupangwa saa saba mchana,mda ambao ni watu wengi wapo kazini,shuleni,vyuoni na n.k,mkutano umekusanya watu wengi sana.NA IDADI INAONGEZEKA,Hongera sn wana idodomela kwa kuanza kuamka.
   
 2. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kwa kweli watu wa makao makuu wanatia aibu,inabidi operesheni sangara ifanyike kwa sana ili kuwaamsha wana Dodoma.
   
 3. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35


  Hao bila shaka ni wanafunzi wa vyuo na siyo wakazi halisi wa Dom Mikoa ya Dom na Singida ndo inayoongoza kwa kurudisha nyuma harakati za kimageuzi. Amkeni jamani, mtazidi kuachwa!
   
 4. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Labda wa gg,wa rang wahame DOM
   
 5. Mufa

  Mufa Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mabadiliko lazima hapa dodoma subiri 2015 utaona magamba yatakavokunwa hapa msihofu
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Support maelezo yako na visual aid (picha meeen)
   
 7. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Nimemsikia jana kutoka Star TV mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akipiga marufuku mikutano ya hadhara na maandamano katika mkoa wake. Sababu alizotoa ni kwamba kunapokuwa na pilika za bunge kama sasa, mji unakuwa umekusanya wawtu wengi sana, hivyo polisi inawawia vigumu kutoa ulinzi kwa makundi yote (kulinda wabunge na waandamanaji).
   
 8. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Peopleziiiiiiiii..................Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!
   
Loading...