Mafuriko tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuriko tena?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAZETI, Apr 12, 2012.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Mvua zilizonyesha jana zimenikuta maeneo ya Yombo na
  kunilazimisha kulala Guest kutokana na miundombinu kuharibika
  na kusababisha hali ya usafiri kuwa mbaya sana,
  Nimeshuhudia nyumba kadhaa zikiwa zimeanguka huku nyingine
  zikifunikwa kwa mchanga. Sijui hali hii ikoje maeneo mengine maana
  huku kulikuwa hakuna umeme kabisa hivyo nimeshindwa kupata
  taarifa za maeneo mengine.
   
Loading...