Star tv kulikoni jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star tv kulikoni jamani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bangoo, Apr 12, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa sisi tunaofuatilia kipindi cha bunge tumeshindwa kukiona kupitia star tv. Nadhani bunge limeshindwa kuwalipa ili watuonyeshe? Na ukizingata tbc haina uqwality kwenye matangazo yao?.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ni adhabu kwa Diallo kwa kuzembea kukisaidia chama.
   
Loading...