Wasomali 2 wameshikwa wakiwa kwenye Basi la Sumry la kutoka Ar kwenda Mbeya

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Nimeshuhudia wakiwa wanapakiwa kwenye basi kijiji kimoja mbele ya Same,sikuelewa ile picha maana niliona watu wana burgain maeneo ya porini,then kukatoka vijana 2 kwenye chaka na kupanda basi,nilihisi ni wagonjwa.Kijiji kimoja kabla ya kufika Mombo,basi likazuiliwa na Polisi,akaja polisi moja kwa moja mwisho wa Basi na kuwauliza Which country are you from.Wale jamaa wakawa wanatetemeka,Askari akashuka nao,ikapita msako wa mizigo,wakabaki na konda wa basi pia.Ni basi la Sumry T909 BMP,hivi tuko Mombo.
Nawasilisha.
 

Attachments

  • 02042012.jpg
    02042012.jpg
    214.1 KB · Views: 64

Similar Discussions

Back
Top Bottom