Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HOJA KWA MALUMBANO YA HOJA: Dada Nyangasa hongera kwa jinsi mnavyoendesha kipindi sasa. Hakuna haja ya kuwakaribisha baadhi ya watu kila wakati kwani sasa wamevimba vichwa na kujiita Mjumbe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni sekunde, dakika, masaa, siku, miezi na miaka kadhaa sasa tangu mpendwa wetu Hayati Moringe Sokoine, Waziri mkuu wa zamani atutoke kwa ajali mbaya ya gari akiwa safarini kuelekea Dar es Salaam...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jana dada mmoja aliigonga gari ya mtu (kaka) kama ilivyo mbilinge-mbilinge za barabarani. Sasa dada baada ya kuona atalibeba hili kasheshe akamuambia yule kaka "...mimi naitwa Dina Marios...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau ndo msemo duniani wawili wawili? Au ni serikali yetu inamuacha huko raia wa Marekani katuibia kakimbia?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mku wa wilaya alishawahi kuwalamba bakora walimu sehemu fulan Tanzania,Mnamkumbuka?Naic Tanzania ilikofika hata hawa viongozi baadhi baadhi ktk dhana ya uwajibikaji wangewajibishwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waalimu wa shule ya msingi Mbezi Ndumbwi iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam, wanawaadhibu wanafunzi wasiofanya majaribio ya kulipia wakati wa asubuhi (speed test) kwa kuwakalisha chini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mwanaharakati mkinga ndan ya itv live katika mada ya kudhibiti wahamiaji haram jamaa yuko deep kuliko maafisa uhamiaji je alishawahi kuwa afisa uhamiaji?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
...naomba munijibu swali hili nitakalowauliza sasa hivi toka mioyoni mwenu honestly: Ni sahihi Kikwete kuhudhuria mazishi ya Kanumba (na kutoa "ubani") na asitoe hata 5% ya heshima ya namna...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Trafiki mmoja wa kike , koplo Modester Kachichi anatuhumiwa kufuga misukule nyumbani kwake eneo la kwa Mromboo jijini Arusha. Shutuma hizo nzito zimetolewa na msichana Johari Abdalah(20)mkazi...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari zetu wana Jf Nadhani kila mtu anaelewa kuwa mda si mrefu tunaelekea kutoa maoni juu ya Katiba mpya Lakini ktk mchakato huu sijaona kipengere ktk sheria kinacho ruhusu wafanyakkazi wa...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu...
27 Reactions
256 Replies
21K Views
wakuu salam, tunawakaribisha wote UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM yombo 4, kuwakumbuka wenzetu wa rwanda, jumamosi sa 4 asubuhi yombo 4 kutakuwa na public talk ikiongozwa na Prof Maina na wengne toka...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
watanzania na wapenda mabadiliko naomba niseme hili gazeti ni mali ya rostam aziz lakini limekuwa mstari wa mbele hivi karibuni kukiponda chama cha mapinduzi kwa mfano mzuri ni toleo la leo...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
mtakumbuka kuwa hawa wakubwa walikamatwa majuzi na askali wanyama poli wakichimba dhahabu ndani ya hifadhi kinyume utaratibu,sasa hivi vigogo hawa wamehamishwa vituo vya kazi ambapo dc amepelekwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
tusaidiana nini gharama ya kujenga hii nyumba?
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Polisi Kinondoni washikilia watu 51 wa kanisa la Efatha Mwenge kutokana tuhuma za kuchmoa kiwanda cha Afro Pluss na vurugu. https://twitter.com/#!/ITVTANZANIA/status/189386886123495425 Source: ITV
0 Reactions
10 Replies
2K Views
.... Jamaa kaja Arusha kapiga mikwara na kutishia kuwafukuza kazi wafanyakazi wazembe palee Manispaa lakini guess what? Magessa Mulongo, RC wa Arusha amempachika mkewe pale manispaa ile awe PS wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Dada mmoja aitwae Mariam Elias mkazi wa Misugusugu Pwani amenusurika kufa baada ya kunywa sumu ya panya kufuatia uchungu wa kifo cha Kanumba. Dada huyo amedai kuhuzunishwa sana na kifo hcho kwan...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hii maana yake nini kukuza mambo kiasi cha kufanya mambo ya hovyo kuwa ya maana na ya maana ya hovyo? Je taifa linapokuwa na taasisi za hovyo namna hii linaweza kusonga mbele?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Binafsi nilitoka city centre saa kumi nikapitia baharini maana nilipata taarifa kuwa ndiyo njia pekee iliyokuwa afadhali kwani ilikuwa inatembea kidogo.kufika maeneo ya Aghakhani njia ikawa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom