Utabiri wa Hali ya Hewa Vs Upigaji wa Ramli

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Nafuatilia sana hii idara na utabiri wake, ni kama wanapiga ramli tu!!! ingekuwa enzi za imani ya Tomaso ningeenda kuwatomasa.......yafaa watafute sifa mbadala za kuajiri kama vile wanajimu etc
 
Hawa wa kwenye Luninga ndio "hopeless" kabisa. Wanarudia maneno hayo hayo kusini hadi kaskazini eti mawingu vipindi vya jua na mvua sehemu chache..
 
hawa jamaa vipo vyao VINAKANUSHA, ha ha ha ha vipimo vikisoma mafuriko ujue vinatabiri ukame , Vikisoma Ukame Ujue vinamaanis MAFURIKO,

sina hata time nao
 
Nafuatilia sana hii idara na utabiri wake, ni kama wanapiga ramli tu!!! ingekuwa enzi za imani ya Tomaso ningeenda kuwatomasa.......yafaa watafute sifa mbadala za kuajiri kama vile wanajimu etc

Ndiyo, umenena; wangmuajiri Temitobe Belaguni.
 
Back
Top Bottom