Mitazamo tofauti! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitazamo tofauti!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bonitah, Apr 12, 2012.

 1. Bonitah

  Bonitah Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utajisikiaje unapomwambia mtu maisha magumu then yeye akakujibu "ugumu wa maisha ni kipimo cha akili yako"

  Kuna jamaa aliambiwa hivyo na alimind sana!

  Nawakilisha!
   
Loading...