More than 30,000 people in Dar es Salaam have attended the funeral of Tanzania's most popular film star Steven Kanumba, who died on Saturday.
A BBC reporter in the city says the burial had to be...
Wadau nimemsikia kwa masikio yangu kada mmoja wa CCM akiteta na mwenzake kwenye simu kumpongeza kwa kazi iliyofanyika ya kuchoma soko la Arusha ikiwa ni kukwamisha maendeo kwa majimbo ya upinzani...
Nikiwa na hangaika na foleni baada mvua kubwa iliyonyesha Jijini Dar, maeneo ya mataaa Morocco vijana walikuwa wanauza CD za msiba na mazishi ya Kanumba steve (RIP). Kijana anasisitiza picha zote...
Wakili maarufu nchini Median Mwale amewalalamikia mawakili wa serikali kuendelea kupiga danadana usikilizwaji wa rufaa waliokata ya kupinga mahakama kuamuru magari hayo akabidhiwe wakili Mwale,leo...
Kuna maswali mengi mimi kama mtanzania nimekuwa nikijiuliza mazingira tata ya kifo, na kuzikwa kwa gavana wa bot, daud ballali. Leo gazeti la fahamu limenitegulia kitendawili kuwa ballali hajafa...
Hivi hii serikali ni ya ajabu sana wanasababisha panic isiyo ya lazima tbc 1 leo walitoa wanachoita habari mpasuko(breaking news) eti tsunami inakuja saa moja na saa tatu usiku huu ni umbea tu...
Kwa wenzangu watumiaji wa huduma za simu za vodacom, je mmewahi kuomba huduma ya voda swaga na kama ndiyo je ina manufaa gani kwa mteja wa voda? Sasa nawauliza watoa huduma za voda, hii vodacom...
Wadau nna imani kuwa ntapata msaada juu ya utaratibu wa kupiga/kupigiwa saluti. Nikianzia na obama huwa namuona akijibu anapokuta askari wanampa saluti bt jk cjawahi ona. Then leo msibani kova...
Je General Kyaro hakuna na mchango wowote katika taifa la tanzania?
Hapa nipo nasubiri TBC:mimba:clouds Tv kuonesha live mazishi ya our Beloved General Kyaro
RIP G. Kyaro
RIP Kanumba
RIP Katiba mpya
Foleni za kufa mtu...
Kilwa rd,jangwani watu wanachapa lapa tu usafiri wa umma umekuwa mgumu
Boats za Zanzibar zimezuiwa
Radi hatari
wadada na rqmbo vichwani
Makaburi jirani na chang'ombe...
Wako mbioni kujiengua chama hicho
Baadhi wakiri uwezekano ni mkubwa
Chiligati: ``Sina taarifa hizo na mimi sio mmoja wa wabunge hao."
Na Restuta James 10th January 2010
Baadhi ya wabunge...
UPDATES;
Moto huo umeshadhibitiwa tayari kutokana na juhudi za wananchi na kikosi cha zima moto. Hadi sasa haijulikani moto huo umesababisha hasara kiasi gani.
Moto mkubwa umelipuka katikati ya...
Thirty kilometers east of Serengeti National Park, a cluster of people draped in red shuka (the iconic red checkered cloths often worn by the Maasai) dots the golden acacia woodlands and short...
Wakulu heshima mbele.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia salamu za raisi wetu mheshimiwa Jakaya Kikwete ambazo ni ama za kupongeza, au kutoa rambirambi au kutoa pole.
Mara nyingi mheshimiwa...
Vijana mjihadhari pombe mtumie kwa kiasi mtapata matatizo kama ya mwenzenu Kanumba. Au mmebaki na utanzania kwamba mkimpenda mtu basi anakuwa ni msafi kwa kila kitu especially akishakuwa amekufa...
majira ya saa 5 asubuhi leo kumetokea radi kubwa sana katikati ya jiji. Kwa upande wa baharini anga ilionekana kama kitu kilikua kina ungua na moshi ulitanda.
Pia kuna tetemeko la sunami huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.