Author's fictional Titan hit iceberg years before the Titanic sank

E=mcsquared

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
236
40
2012-04-11T201105Z_1196567506_GM1E84C0BU101_RTRMADP_3_USA-TITANIC.JPG

Copies of original newspapers describing the sinking of the Titanic rest in an exhibit at the South Street Seaport …TORONTO - It was the largest ship of its day, described by its creator as "the greatest of the works of men."Its seafaring days came to an abrupt and tragic end when it struck an iceberg in the North Atlantic, destroying the vessel and killing most of the passengers on board. And it's a fictional boat brought to life 14 years before the Titanic ever set sail.

The ship plays a relatively minor role in "Futility," the 1898 novella penned by U.S. writer Morgan Robertson, but it has assumed nearly mythological status among scholars of the real-life disaster of 1912. It seems fitting for a boat christened the Titan.

Robertson's story is rife with details that seem positively surreal for readers of the post-Titanic era, with the nearly identical names being among the least striking.

The ships are approximately the same size, with the Titanic being only 25 metres longer than the Titan's 243. Both were capable of maximum speeds over 20 knots, and both carried only the bare legal minimum number of lifeboats for the thousands of passengers on board.

Robertson's opening description of the Titan could easily have been lifted from press clippings written before the Titanic's maiden voyage.

"SHE was the largest craft afloat and the greatest of the works of men. In her construction and maintenance were involved every science, profession, and trade known to civilization," the novella begins.

Both vessels were hailed as unsinkable, and both proved all too vulnerable after striking icebergs in mid-April.

The eerie parallels between Robertson's account of the Titan's demise and the sinking of the Titanic gave the author a reputation for precognition after 1912. But Paul Heyer, Titanic scholar and professor at Wilfrid Laurier University, said most of the coincidences can be explained with a look at the author's biography.

"He was someone who wrote about maritime affairs," Heyer said. "He was an experienced seaman, and he saw ships as getting very large and the possible danger that one of these behemoths would hit an iceberg."

Robertson's perception of ship-building trends, combined with his understanding of transatlantic travel, gave him ample material for a story depicting a naval catastrophe.

The final product, however, doesn't focus exclusively on the Titan. The action takes place on the doomed cruiseliner for the first half, but then shifts to an improbable struggle for physical survival and spiritual redemption on the iceberg before scenes in both the U.K. and New York.

The story's primary focus is a disgraced naval officer who overcomes alcoholism, finds Christianity and regains the love of his life after the trials of the Titan's sinking.

The novella also features some unorthodox action sequences, including scenes in which the ship mows down an oncoming vessel and the hero slays a polar bear to save a small child.

"He's not exactly a great literary stylist," Heyer said of Robertson. "Moralistic tone, implausible situations, poor character development. The only saving grace of the novella is intriguing information about the ship and her fate."

The lack of literary merit made "Futility" a footnote in the years after its publication, Heyer said, adding that its reputation changed drastically after the Titanic sank.

Robertson immediately earned a reputation that he spent the rest of his career disclaiming, he said.

"Everybody ran to him and said, 'Oh my god, you're psychic.'

'No,' he said, 'I know what I'm writing about, that's all.' "

Source: Author's fictional Titan hit iceberg years before the Titanic sank - Yahoo! News
 
Katika masimulizi ya kuzama kwa meli hii kuna kitu cha muhimu huwa wanakisahau, nacho ni kwamba baada ya kukamilisha ujenzi wake kwenye kampuni ya SHORTS-BELFAST, walifanyia majaribio na kwa bahati mbaya meli iligonga kitu kigumu sikumbuki kama ulikuwa ni mwamba au nini, ajali hiyo ilifanya maji kuingia kwenye meli, bahati nzuri ilikuwa karibu na bandari kwa hiyo ilikuwa ni rahisi kuivuta na baadae kuifanyia ukarabati, katika mawazo yangu nadhani kazi ya ku-patch up aikutekelezwa kwa umakini.

Sasa ni nini kilikuja tokea kwenye safari yake ya kwanza kwenye high seas, iligonga mlima wa barafu na kuzama, inaelekea iligonga sehemu hiyo hiyo iliyowahi kupata ajali. Hili uwa alisemwi.
 
Hivi ilikuwa safari ya kwanza vile? Mi nilidhani ilikuwa imeshapiga trip zingine maana naona Jack alikuwa anadai yeye ni "Lucky Poker" wa kwenye meli halafu Rose na mchumba wake walikuwa wanabishana ukubwa wa Titanic na Mauritania hadi ikataka kuleta ugomvi.
 
Hi, MC^2 - Ni kweli hiyo ndiyo ilikuwa safari yake ya kwanza ku-cross Atlantic kama nakumbuka vizuri hajali yenyewe alitokea km chache kabla ya kufikia Nova Scotia (Canada) ikiwa safarini kwenda New York - ilikuwa imekaribiwa kabisa kufika Merikani.

Ninacho kumbuka safari yenyewe alianzia Southampton na siyo Belfast meli ilikohundwa, sasa sikumbuki vizuri ni meli gani zilihusika katiak uokoaji wa abaria waliozama kama ni Mauritania au nini, kitu kingine mambo ya film wa andishi wa script huwa wanogezea mambo yao ya kubuni tu ili wafurahishe watazamaji.

Cheers:heh:
 
Similarities to the Titanic

Although the novel was written before the Olympic-class Titanic had even been designed, there are some remarkable similarities between the fictional and real-life counterparts. Like the Titanic, the fictional ship sank in April in the North Atlantic, and there were not enough lifeboats for the passengers. There are also similarities between the size (800 ft long for Titan versus 882 ft 9 in long for the Titanic), speed (25 knots for Titan, 22.5 knots for Titanic) and life-saving equipment.
Beyond the name, the similarities between the Titanic and the fictional Titan include:

  • Described as "unsinkable"
    • The Titanic was the world's largest luxury liner (882 feet, displacing 63,000 long tons), and was once described as being practically "unsinkable".
    • The Titan was the largest craft afloat and the greatest of the works of men (800 feet, displacing 75,000 tons, up from 45,000 in the 1898 edition), and was considered "unsinkable".
  • Shortage of lifeboats
    • The Titanic carried only 16 lifeboats, plus 4 Engelhardt folding lifeboats,less than half the number required for her passenger capacity of 3000.
    • The Titan carried "as few as the law allowed", 24 lifeboats, less than half needed for her 3000 capacity.
  • Struck an iceberg
    • Moving too fast at 22½ knots, the Titanic struck an iceberg on the starboard side on the night of April 14, 1912 in the North Atlantic 400 miles away from Newfoundland.
    • Also on an April night, in the North Atlantic 400 miles from Newfoundland (Terranova), the Titan hit an iceberg while traveling at 25 knots, also on the starboard side.
  • Sinking
    • The unsinkable Titanic sank, and more than half of her 2200 passengers died.
    • The indestructible Titan also sank, more than half of her 2500 passengers drowning.
    • Went down bow first, the Titan actually capsizing before it sank
Source Wikipedia
 
Hivi ni 15th April au 14th April 1912???

Najua walipona 710 and the last survivor kaenda mbele ya haki around 2009
 
Let the Christian God be God, because the Titanic was built by professionals but it sank aand the Noah's arch was built by amerture and it survived the stom.
 
Similarities to the Titanic

Although the novel was written before the Olympic-class Titanic had even been designed, there are some remarkable similarities between the fictional and real-life counterparts. Like the Titanic, the fictional ship sank in April in the North Atlantic, and there were not enough lifeboats for the passengers. There are also similarities between the size (800 ft long for Titan versus 882 ft 9 in long for the Titanic), speed (25 knots for Titan, 22.5 knots for Titanic) and life-saving equipment.
Beyond the name, the similarities between the Titanic and the fictional Titan include:

  • Described as "unsinkable"
    • The Titanic was the world's largest luxury liner (882 feet, displacing 63,000 long tons), and was once described as being practically "unsinkable".
    • The Titan was the largest craft afloat and the greatest of the works of men (800 feet, displacing 75,000 tons, up from 45,000 in the 1898 edition), and was considered "unsinkable".
  • Shortage of lifeboats
    • The Titanic carried only 16 lifeboats, plus 4 Engelhardt folding lifeboats,less than half the number required for her passenger capacity of 3000.
    • The Titan carried "as few as the law allowed", 24 lifeboats, less than half needed for her 3000 capacity.
  • Struck an iceberg
    • Moving too fast at 22½ knots, the Titanic struck an iceberg on the starboard side on the night of April 14, 1912 in the North Atlantic 400 miles away from Newfoundland.
    • Also on an April night, in the North Atlantic 400 miles from Newfoundland (Terranova), the Titan hit an iceberg while traveling at 25 knots, also on the starboard side.
  • Sinking
    • The unsinkable Titanic sank, and more than half of her 2200 passengers died.
    • The indestructible Titan also sank, more than half of her 2500 passengers drowning.
    • Went down bow first, the Titan actually capsizing before it sank
Source Wikipedia

Mkuu haya ndiyo mambo yanayo shangaza duniani, yaani ukiangalia mtiririko wa matukio ya watu mashuhuri kujitabilia kifo utabaki mdomo wazi - ebu tuangalie machache yafutayo:

  • Hiyo novo iliadikwa miaka 14 kabla ya ajali ya TITANIC kutokea, mwandishi ni kama alikuwa anatabili litakalo kuja kutokea hapo baadae, kila kitu kilicho simuliwa katika novo tafauti na real thing ni negligible.
  • Jim Reeves wimbo wake wa mwisho "this world is not my home.." ni kama alikuwa anajitabila kifo chake na infact hakuchukua muda akafaliki kwa ajali ya ndege.
  • Muigizaji Bruce Lee maharufu kwa michezo ya Kung-Fu, film yake ya mwisho ilijulikana kama "Game of Death" mshiriki wake alimusihi Bruce Lee abadilishe jina la film, alisema jina hilo ni uchuro-na kweli Lee alifaliki kabla ya film kusambazwa.
  • Mwimbaji mashuhuri wa Uingereza mzaliwa wa Zanzibar Fred Mercury aliwahi kuimba wimbo wa kifo, na akaja kufa kweli within two months.
  • Martin Luther King (jr) katika mkutano wake wa mwisho ambao alikwenda kuwapa tafu kidogo Wanegro wenzake waliokuwa wamegoma kwa kudai maslahi zaidi kutoka kwa wajili wao wazungu. Alisema yafuatayo " naona tunakaribia mlima wa SINAI ambao utamaliza matatizo yote ya mtu mweusi" watu walimshangilana saana lakini hakuishia hapo aliogezea yafuatayo: "Nasikitika kuwambieni kwamba kuna uwezekano mkubwa kwamba maisha yangu yanaweza kukatizwa kabla hatujafika huko mkiwa nami" jioni hiyo kapigwa risasi na sniper akitumia risasi za dum-dum ambazo ni hatari sana, risasi kama hizo zilitumika kumu uwa Kennedy, niliwahi kuangalia film jinsi risasi hizo zilivyo ingia na kufumua kichwa cha Kennedy-usiombe!
  • La mwisho ni la KANUMBA, wimbo wake unasema nini? nasikia ni maneno kutoka kwenye biblia, lakini je aliyo yaimba kuhusu jeneza lake, na kuhusu umaharufu wake kwamba utaongezeka baada ya kifo chake - si yote yamekuja kuwa KWELI?

Mkuu hayo ni baadhi ya ma ajabu duniani.
 
Back
Top Bottom