Nipashe Limekuwa Gazeti La Udaku siku hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipashe Limekuwa Gazeti La Udaku siku hizi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchaka Mchaka, Apr 13, 2012.

 1. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Ona Heading...ona Content!!!
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Sasa ulitaka habari hii iandike ktk magazeti maalum ya udaku?
  Acha ku "kukariri vitu" wewe,
  Hiyo ni habari,na gazeti la Nipashe ndio mwake.
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Usikurupuke kuchangia mada ambayo huijui, Sikubaliani na Heading ya Gazeti la Nipashe, hizo ni Heading za magazeti ya udaku kumbuka Heading ni lazima iendane na habari iliyomo ndani.
  Je wewe unaweza kutueleza hiyo siri nzito ni ipi hapo!!??
   
 4. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Heading ya Gazeti ambalo halitaki tu kuuza kwa kutumia heading na sio uhalisia lingeandika hivi:-

  Baba yake Kanumba aelezea Sababu za Kutokuhudhuria Mazishi.., (tena hii habari ingebidi iwe kule ndani ndani na kupewa paragraph kama mbili (ila tunachoangalia siku hizi ni mauzo)
   
 5. b

  bob malya JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ndo siri nzito hiyo.kwa gazeti na nipashe.je mambo ya richmond na epa wataandikaje?
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kabla ya kutoa povu..ungetueleza hiyo habari nzito iko wapi hapo!
   
 7. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kweli atuambie hapo pana habari gani nzito
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ni-PM Ntakueleza
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu confidential hapa kwa hili litalonishawishi niku pm!!.....i won't do that.
   
 10. MTI PESA

  MTI PESA Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  hawa jamaa wa Nipashe kweli siku hizi wapo kiudaku zaidi..au wameajiri mhariri mpya nn kutoka kwa Shigongo?..maana hta juzi waliandika "Lulu kortini kwa kumuua Kanumba" yaani washahukumu hta kbla ya mahakama kutoa uamuzi...aaaggggrrr!
   
 11. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 595
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Tatizo ni kwamba watu wengi wanachukulia waandishi wa magazeti ya udaku hawajaenda shule, hawajui kuandika habari na ni watu wa hovyo hovyo tu, leo nataka niwaambie kwamba hata wao wanakwenda chuoni na kusoma kama wengine, tena wao wanaweza kuwa wanajua kuandika kuliko hata wale wanaoonekana kuandikia magazeti serious tatizo linalowafanya kuangukia katika magazeti hayo yanayonekana ya hovyo ni ajira.Katika habari ya Kanumba na Lulu huwezi kuiacha ikapita bila ya kujali kama wewe ni mdaku au siyo mdaku, Nipashe wako sahihi kabisa kuandika ingawaje siyo aina ya habari zao siku zote.
   
 12. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ok,basi Shut-up!
   
Loading...