Gazeti la habari leo mwombeni radhi huyu katibu tawala!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la habari leo mwombeni radhi huyu katibu tawala!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Mar 25, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Jamani nikisoma gazeti la haabri leo jana naona picha ya mzee mwenye familia akiapishwa na mh rais niliposoma chini naona wameandika rais akimuapisha katibu tawala mh mariam mtunguja
  he sasa sijui yule mzee ndilo jina lake jamani ama peni imeingia mchanga\kama sio vyema wakamwomba radhi maana watoto nao wamesoma baba yao anaitwa mariam toka lini
   
 2. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kijana unapata shida hilo gazeti ni la UDAKU,jumapili njema.
   
 3. G

  G TUKE New Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tofautisha udaku na magazeti ya serikali tena usirudie kauli yako
   
Loading...