MKAPA awa MAKAMBA UDSM... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MKAPA awa MAKAMBA UDSM...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Apr 13, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Katika Mhadhara unaoendelea UDSM juu ya mchango wa sanaa katika mustakabali wa nchi zinazoendelea,Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa amejikuta nje ya mada.Mhadhara huo ulioandaliwa na Kigoda cha Mwalimu Nyerere-Sanaa cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Mkapa aliacha mada na kuanza kuzungumzia siasa kama afanyavyo Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Yusuph Makamba.Makamba huzungumzia siasa popote na kwa yeyote,kwenye jambo lolote.

  Mkapa alijikita zaidi kwenye kuzungumzia siasa kwa kurusha vijembe kwa upinzani badala ya kubaki kwenye mada.Mkapa,kwanini lakini?!
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Taarifa uliyoitoa ni nzuri,lakini haina mvuto kwa kuwa ni general sana!kwa nini usitupe nukuu moja ili tumtasimini vizuri!
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kweli. ni vijembe gani hivyo?
   
 4. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  vincent nyerere yupo?
   
 5. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mkuu nyoosha maelezo, sijaona update yoyote ya KIGODA toka kimeanza.
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Haya ndio matatizo ya waleta mada kuwa biased!
  at the same time anataka kufikisha ujumbe , at the same time anataka wanaoupokea waupokee kwa vile alivyoelewa yeye.
  kweli vyu vikuu vya kata vimeharibu elimu tanzania!
   
 7. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Bwaña hakuna mashindano ya kuleta mada,kama haujakaa vzul subiri waliotulia watuletee habari
   
 8. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  si ndio ugonjwa anaougua? Kichwa moto, tumbo moto, na kila kitu moto kisa M4C.
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tutajie vijembe hivyo na vilikuwa vingapi? ili na sisi tupime kama kweli ni vijembe.

  siasa ziko kila mahala hata JF tunahamisha mada mara nyingi.
   
 10. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Mkapa ameuzungumzia hadi uchaguzi wa Arumeru Mashariki.Kuna wakati alisema:'wenzetu(akimaanisha wapinzani) wanakwepa kuhudhuria mihadhara kama hii.Wao wako busy na mikutano ya hadhara mikoani kujenga chama chao'
   
 11. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mbona we mwenyewe huna tofauti nao?badala ya kuzungumzia mada husika na evidence unabaki kueleza wasifu wao,jipange mzazi
   
 12. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Jamni muweke alichozungumza huyo hayawani Chinga
   
 13. d

  deonkaka New Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pls that is out of proportion.It is a party like others and we did put them by election (not thugs)again you can do otherwise in coming elections.
  Thanks
   
 14. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ukimega tonge lazima ujue utachovya wapi kama unaona hizo ni mbwembwe tu, jaribu kumega halafu ndo uanze kutafuta pa kuchovya.
   
 15. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh, akiwepo Chenkapa ataingia mitini
   
 16. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mzee mkapa you should on your bed now
   
 17. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hebu tujuze kidogo tupate kujadili
   
 18. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Mimi naona ni damu ya Mwalimu aliyomwaga ndiyo inamfanya abakie mtu wa kuwewesekaweweseka.Namchukia sana huyu mkimbizi toka Msumbiji.
   
 19. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Kiwewe cha 2015 kimeanza mapema!!!
   
 20. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Aeleze hapohapo kwa nini alimuuwa jkn......
   
Loading...