hivi ni sahihi kweli!?

mmc

Senior Member
Apr 9, 2012
109
35
jamani wana jf,hebu nisaidieni kuhusu hili; hivi ni kwa mtu alyezaliwa tar 25 july2011,anatakiwa afanye sherehe tar 25 july2012 kwa kutimiza mwaka mmoja au kwa kuanza mwaka wa pili? mimi ninavyofikiria ni kwamba tar 24july 2012 ndio siku yake y kutimiza mwaka mmoja.

nawasilisha.
 
Back
Top Bottom