Kumbe mbwembwe za clauds media ni mdomoni.

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Nasikiaga clouds tv clouds tv. Urushaji wao wa matangazo ya live kumbe sio.Mlobahatika kuona Katika viwanja vya Readers katika kuuaga mwili wa marehemu Steven Kanumba nahisi mna mengi ya kuchangia.
 
Very low. Hawakujipanga kihivyo. Hawakuwa ama hawana uwezo wa kihivyo kurusha haya matangazo. Kwa mfano kwenye mtandao wa internet ndo kabisa iko mbayaaaaaaa
 
online ndio usiseme..wamechanganya matangazo ay tv na redio sehemu moja huwezi kusikiliza kipi wala kipi? kweli IT bongo ni zero kabisa ,.hawa tbc nao kuna us stream unajiunga tu lakini hawawezi wapo tu wanaboresha vitambi vyao..kizazi kichafu hiki sijui kitapita lini
 
Wambie warudi studio wakaendelee kuharubu kiswahili, IT haihitaji mbwembwe
 
online ndio usiseme..wamechanganya matangazo ay tv na redio sehemu moja huwezi kusikiliza kipi wala kipi? kweli IT bongo ni zero kabisa ,.hawa tbc nao kuna us stream unajiunga tu lakini hawawezi wapo tu wanaboresha vitambi vyao..kizazi kichafu hiki sijui kitapita lini

Kwanini ume fikia tamati hii? Yaani tatizo la Clouds ni tatizo la IT Tanzania? wanawalipa kiasi gani hao wataalamu wao? Acheni bana hizi conlusion za jumla jumla.
 
Kwa kweli ni ovyo kabisa leo ndio wangitangaza vizuri ila ni kama walikuwa hawajui cha kufanya.

inabidi watumie pesa na kutokuwa eabahili ili waweze pata wataalamu wanaojua mambo ya mitandao na tv.

duh sikuamini macho yangu jinsi walivyonolonga haswa na wa makazini wangeona lleo bila tabu.

ni 20% nawapa kwa kujaribu hiyo ni kusafiri kwenda na kuweka kikamera
 
King Kong III nakufananisha na kijana wangu mmoja akikudharau anakuonyesha ngumi halafu anasema 'Kong' ndiyo maana ninakimbia kuangalia ume comment nini ktk thread
 
Mkuu hata mimi imeniacha hoi!

Nikawashangaa na TB - CCM nao eti wanajiunga kwa nguvu zote kutuonesha uozo unaorushwa live na TV wafu!! Useless TV stations! Hata huyu Mkurugenzi wa TB naye sijui vipi huyu? Amesoma kweli huyu? Shame on them Magamba TV station!!!
 
Back
Top Bottom