Raisi wa jamhuri wa muungano wa tz jk wa pili unayajua haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi wa jamhuri wa muungano wa tz jk wa pili unayajua haya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SYENDEKE, Apr 12, 2012.

 1. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  “Hali ya mtaani ni mbaya wananchi wanauma ugonjwa wa shida mfumuko wa bei uko juu kila cku vitu vyapanda bei hamna wa kumuuliza wala kuhoji 2ko utumwani katika nchi yetu wenyewe ‘’
  MFANO ndani ya mwezi mmoja bia iko 1800 kutoka 1500, soda 700 kutoka 500,
  sukari 2500 kutoka 2000, mchele 2500 kutoka 2200, maji 700 kutoka 500

  nyanya, kitunguu kimoja 200. Hapo kwa ndugu zetu wafanyakazi mishahara haieleweki na hamna posho wala nini. EEE MUNGU TUSAIDIE KATIKA KUISHI KWETU
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...teheee, analifahamu hilo, ila yeye sio mungu ashushe bei.
   
 3. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  lazma tuminywe ili aweze kupata hela ya mafuta ya ndege kwa ajiki ya trip zake za majuu
   
 4. c

  collezione JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Haha kuna pipo wakipewa buku 2 kipindi cha uchaguzi wanajifanya mmesahau shida zote... Acha wakome sasa. Hiyo ndo CCM
   
 5. m

  mgadafi Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lakini burundi wana mfumuko mkubwa wa bei kushinda tz je na kule ccm ndio iinatawala kule ndugu zangu acheni ukweli ubakie ukweli mfumuko wa bei umeikumba karibu dunia nzima
   
 6. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hata kama sio mungu wa2 wanatumia mwanya huo ndugu kutokana na hilo hiyo ndo bongo zaidi ya uijuayo
   
 7. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180

  Wakati mwingine ni busara kuficha ujinga wako badala ya kuuanika hadharani; mbona husemi kuwa Rwanda hawana mfumuko wa bei kama sisi kwani dunia yao ikombinguni? Kujipendekeza kungine kwa watawala wezi kunadhalilisha utu wako!
   
 8. m

  mgadafi Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa ndugu yangu bulesi hebu nambie ungekuwa wewe ndio kiongozi ungepambananao vp mfumuko wa bei hebu panga bajeti bubu hapo tuone
   
 9. k

  kilochindi Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesahau petrol, diesel,,,, hata wale ewura siku cku hizi wanakaa baada ya wiki mbili wanapandisha tu hakuna kushusha imagine sasa hivi petrol ni 2300 kutoka ile waliyogoma wakati ule ya 1800 walipokuwa wanatufanyia kakomedy kutudanganya toto nadhani hawa ewura wanaibeba zaidi hii mikampuni ya mafuta kuliko maisha ya mtz na hapa tuna bandari tena ipo next to the mkulu wa bongo aka hamnazo, huyo anaefananisha hapa na burundi afikiri kwanza kabla ya kuchangia coz kupanda kwa bei ya mafuta ndo cha
   
 10. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Kuna haja gani basi ya kuwa ni viongozi? Kuna haja gani ya kupoteza mabilioni kwenye uchaguzi ikiwa ni Mungu tu anayepaswa kututatulia matatizo na kuleta maendeleo?
   
 11. n

  naroka Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tanzania ni Tanzania na Burundi ni Burundi,tuna rasilimali nyingi sana,na mazingira mazuri sana ya kuimarisha uchumi wetu.
  Tatizo la Tanzania ni uongozi mbovu wa CCM,ambao haustahili kutawala hata chawa!!!
   
 12. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...ndio majibu ya dr mkuu. Kama hajui sababu ya nchi anayoiongoza kuwa maskini hayo mengine atayajulia wapi. Swala la uchaguzi ni kutimiza ratiba tu.
   
 13. m

  mams JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye mchele hiyo bei ni ya mdundiko. Bei ya mchele safi wa Kyela not less than Tshs. 3,000/=.

  Kama hii bei ingemnufaisha mkulima basi ingekuwa ni ukombozi kwao, lakini hapa ni soko holera. Hii ni nchi ya wafanyabiashara bwana!
   
 14. A

  Aine JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Twakumbuka enzi za Mkapa, mchele 600, kitumbo 300
   
 15. n

  naroka Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kagame alimwambia JK anaomba apewe bandari tuu,nadhani wenye upeo wa kutafsiri mambo hapo sijui watasemaje!
   
 16. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Naogopa maana utajibiwa Kama umeshindwa kuishi na maisha ni magumu kufa, unakumbuka watoto wa shule kupata mimba ni kiherehere chao.
   
 17. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Tunamwambia mtu aliyevaa Helmet na miwani ya mbao....Hatusikii wa hatuoni
   
 18. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  Ngoja tuheshimiane! Hasa kwa sisi WANANCHI na wao RAIA!
   
Loading...