Kongamano la vijana-dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kongamano la vijana-dodoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dik, Apr 13, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Heshima kwenu Ndg wana jf!napenda kuwajulisha vijana wote waliopo dodoma kwamba kutakuwa na kongamano la vijana litakalofanyikia chuo cha mipango kilichopo eneo la miyuji jumapili 15/4/2012 saa 7 mchana.litahuhusu CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA!
  Litahudhuriwa na kuchangiwa na wabunge J.Nassari,E.Wenje,D.Silinde,D.Kafulila,H.Kigwangala,E.Maige na wengineo!jongeeni wote pale ili kupeana michango na shauri mbalimbali mjadala utafunguliwa n mh E.Maige.MODE NAOMBA UIACHE HEWANI ILI WENGI WAWEZE KUPATA TAARIFA
  Source;mimi mwnywe nitakuwepo kwa ajili hiyo
   
 2. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lini, saa ngapi,
  muda gani (days), atafungua nani ,atafunga nani.
   
 3. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Siku gani?,saa ngapi?Mwezeshaji Mkuu nani?tuhabarishe vema mkuu.
   
Loading...