Uchafu wa ripoti za ludovic utouh/kamati ya mrema atuitaji kuusikia tena;tunaitaji vitendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchafu wa ripoti za ludovic utouh/kamati ya mrema atuitaji kuusikia tena;tunaitaji vitendo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 13, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,727
  Trophy Points: 280
  Shame gvnt
  inashangaza tangu namsikia anachaguliwa watu walifurahi san sana
  sasa imefika wakati tumemchoka amekuwa akipita mikoani kula perdiem
  na kundi lake na kuishia kutoa ripoti za wizi ambazo azitusaidii kama watanzania

  kwa nini nasema hivi tanguaanze biashara hiyo akuna kipya kilichofanyika akuna
  mkurugenz wala wakurugenzi waliotiwa hatiani kwa ajili ya wizi kuna haja gani
  ya kutangaza ati halmashauri 22 zimepotez a billion 10,,mara 22 zimepoteza billion
  20 nimeomba kama mmeshindwa kuwakamata na kuwafunga atuna haja ya kusikia uchafu wenu huko
  mjengoni

  niliomba hili kwa mh mrema na hata alipokuwa dar sikumficha uncle wangu nilimweleza na nyie
  ni kundi lingine la wanafiki tangu watu waibe mnaishia kutaja majina na ammount zilizoibwa
  akuna aliepelkwa mahakamani kuna haja gani na mbaya zaidi nikamwambia kuna taarifa mlijichanganya
  wenzenu wakapokea pesa sasa kukaa kimya hivi kunamaanisha kuna hela mnapokea kwenye halmashauri
  za kuwafanya muwe kimya na ndio maana akuna mnachofwatilia baada ya kutaja wizi

  kati ya makundi machafu nisiyoitaji kuyasikia na huyu cig na ile kamatai ya mrema wachafu kama halmashauri wewe uwezii kutangaza wizi wa mabillions alafu ukaachia watu wanaendelea kula
  ama kuhamishwa halmashauri huu ni uhuni atuitaji kuyasikia tena alie karibu na mzee utouh naomba ajulishwe tumechokwa hizo billions mngenunulia atcl ndege ngapi kila mwaka mabillions yanaibwa hadi kwenye maiti

  we we unatangaza mh utouh jana kwamba watumishi hewa wamelipwa na wanaendelea kkulipwa insaidia nini na kwenye ripoti zako tangu upewe hiko cheo umeandika mara ngapi wizi wa mishahara na akuna kinachoendelea

  raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uiangazie tanzania ipumzike kwa amani

  amen
   
 2. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona tumeshapumzika kwa amani tangu 2000
   
Loading...