Adhabu kwa waliopinga matokeo ya Lema Mahakamani

Adhabu kwa waliopinga matokeo ya Lema Mahakamani

Makyomwango

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
322
Reaction score
80
Wanabodi

Wanachama watatu waliopeleka pingamizi la ushindi wa Lema mahakamani na kupelekea kuvuliwa ubunge wa kamada wetu wanstahili adhabu. watu hawa pamoja na kutambua kuwa tofuti ya kura kati ya batlida na lema ilikuwa zaidi ya 20,000 kwa jeuri ya kifisadi waliweza kupeleka shauri hilo mahakani ambako hukumu tata na ya kumkomoa Lema ilitolewa.

Nawashauli watu wa Arusha na watanzania kwa ujumla na umoja wetu, kwamba kama vile ambavyo tunavyowazomea kwa kupigwa yowe wote wanaovaa nguo za kijani (Uniform za Magamba) kama wezi wa nchi hii, tuwazomee na kuwatenga watu hawa watatu. Hii itakuwa adhabu tosha ya nguvu ya umma kwa watu waliopata pesa zetu kifisadi na kuzitumia kifisadi kutukandamiza

nawasilisha
 
Wanatakiwa wazomewe kila kona wanapopita huko Arusha mpaka wa hame huko!
 
Siungi mkono hoja, tuache sheria ichukue mkondo wake. Kuwazomea hakusaidii,
 
Hakika wazomewe!hata mimi naunga mkono,kwani wamepoka haki ya wengi kwa maslahi ya wachache.
 
Watwangeni makonde au wauzieni sumu....

Nyambaf zao sana....
 
tunaomba magazeti yawatunuku first page ili tuwajue vizuri hawa watu hatari kwa demokrasia
 
Hawa wanastahili kupigwa mawe hadi wafe kwa kosa la kusababisha hasara ya mabilioni ya shilingi endapo utafanyika uchaguzi mdogo, hawastahili kuishi tena.
 
Mkanga anaishi maisha ya tabu sana na demu wake mama soka,hawaonekani sombetini
 
They will not last longer! will regret!
 
Hawa wanastahili kupigwa mawe hadi wafe kwa kosa la kusababisha hasara ya mabilioni ya shilingi endapo utafanyika uchaguzi mdogo, hawastahili kuishi tena.


Kwa mtazamo wangu wa kulaumiwa ni Serikali pamoja na Hakimu (Idara ya Mahakama) ndio waliohusika kaika kutoa hukumu ile.

Walipindisha Sheria kwa manufaa binafsi na ya Kiitikadi yaani kukomoana.


Tuwazomee Askari Polisi, Mahakimu wote, na kila gari la Serikali likipita lenye bendera ya Taifa.



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Haitoshi kuzomewa! wakatwe pumbu maana sio wanaume wale!umbea tu!mwenye hajafungua wao na njaa zao kimbelembele.mavi
 
mkuu safari vipi
au ulijua wataenda kuzika kijijini (Shinyanga) ndo
ukawaone wa kwenu baada ya kupotea miaka yote.

Watwangeni makonde au wauzieni sumu....

Nyambaf zao sana....
 
Wajinga dunian hawawez isha hawa wadiliwe papendikula kwa ujinga na ushenz wao walioufanya.WapotezeWE 4EVER!
 
Back
Top Bottom