Musoma: Haya makundi ya vijana hasimu mpaka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Musoma: Haya makundi ya vijana hasimu mpaka lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ipogolo, Apr 13, 2012.

 1. ipogolo

  ipogolo JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 4,092
  Likes Received: 2,970
  Trophy Points: 280
  Tarehe 8 Aprili 2012 kulitokea vurugu za kukatana mapanga kati ya makundi hasimu yanayoshirikisha vijana wadogo wenye umri kati ya miaka 12-16. Makundi hayo ni JAMAICA MOCKERS na WEST LAWAMA. Makundi mengine ni pamoja na MDOMO WA FURU, MBIO ZA VIJITI na MAKHIRIKIRI. vikundi hivi vilianza kama mzaha lakini sasa vimekomaa.

  Vinatishia amani mjini watu hawana raha. Hayo yanatokea wakati Jeshi letu la Polisi lipo na viongozi wa serikali ( Mbunge, madiwani, watendaji wa Kata,) na viongozi wengine wenye dhamana wakiyaona hayo. Je, wadau ndo tuamini kuwa Musoma hapatawaliki kwa kuruhusu vikundi hivi kujichukulia sheria mkononi? Mheshimiwa Mbunge na timu yako rejesha amani Musoma.
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,976
  Likes Received: 1,870
  Trophy Points: 280
  jamani hivi kumbe makundi ya ali shahbab na al queda hata kwetu yapo? sasa napata hisia mbaya kwamba kwasababu huo ndio mkoa uliotoa viongozi wengi wa jeshi na unaidadi kubwa ya wanajeshi basi kila mjeda ameamua kuimilikisha kundi lake kwa ajili ya ulinzi wake na mji wake has ukizingatia kuwa huwa wana wake wengi.
  lakini pia kuna taswira nyingine inayojitokeza kuwa hayo makundi yanakibali maalum ndio maana wanaendelea na kazi zao kwani kama hawana kibali inakuwaje kamati ya ulinzi na usalama chini ya kamanda wa polisi wa mkoa na mkuu wa wilaya wawafumbia macho?

  poleni sana ndugu zetu ila mnateswa na viongozi wenu. tuwe makini yawezekana ni makundi yanaandaliwa kwaajili ya mapinduzi jamani.
   
 3. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,782
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  aha aha aha wapelekwe jeshini hao.......jeshi la polisi lilikua limefanya kazi nzuri sana kwani makundi km hayo ilifikia wakati wakawa wanawabaka mabinti wa kike tena wanafunzi ata kuwalazimisha mapenzi....Tatizo la MUSOMA POLICE wamekuwa wakiwakamata then wanawaachia...kundi km Jamaika mokers na west lawama kwakweli lilikua ni tishio kwani ilifikia kipindi ukivaa gwanda rangi ya CHADEMA haijalishi wewe ni mwanamke au ni mwanaume wanakuvua tena hadharani na kipigo juu eti hizo ni uniform zao sasa kwa waTanzania wengine wamikoani wakija wamevaa yani wanaweza amini MARA sio TANZANIA kwa yatakayowakuta...JESHI LA POLISI LIWAJIBIKE IPASAVYO
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mfugaji wa makundi haya ni chama cha Mapinduzi kwa kuwa huyatumia makundi haya katika chaguzi mbalimbali nchini
   
 5. M

  Mama Elvis Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman musoma ni hme,na tena wengi wao hao vijana ni wajita,wakwaya,waluli lakn watu wa mikoa mingne wakiona hvyo wanasema wakurya. Watu mnaomiliki hayo makundi acheni,kumbukeni yana mwisho. Na dola iko wapi na inafanya nini. Ndo maana watu wanaidharau police.
   
 6. j

  jackson kanene Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  makundi mengine kama mbio za vijiti yalijitokeza 2010 ktk uchaguzi mkuu yaki asisiwa na kusimamiwa na david mathayo,achilia mbali makundi mengine aliyokuwa akiya2mia kukata wa2 mikono endapo ataonyesha alama ya vidole viwili,2badilike jamani tazama xaxa kaukosa ubunge na bado kawaharibia future watoto hawa.
   
Loading...