Hata kama kufa kufaana jamani... khaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata kama kufa kufaana jamani... khaa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jmnamba, Apr 13, 2012.

 1. j

  jmnamba Senior Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA MUDA HUU MAENEO
  YA UBUNGO KUMEIBUKA MAUZO YA NAKALA MOJA
  YA KITABU AMBACHO KINAMUELEZEA MAREHEMU
  KANUMBA NA MAMBO MENGINE, KITABU HICHO
  AMBACHO MPAKA TUNAPO RIPOTI MUDA HUU ENEO
  LA TUKIO KINAUZWA NA WATU WENGI SANA
  WANANUNUA KWA KIASI CHA SHILINGI ELFU TATU
  PEKEE.
  PIA IKUMBUKWE MAREHEMU NI JUZI TUU AMEZIKWA
  MSIBA UNAENDELEA LAKINI WATU KUPITIA MGONGO
  WA MAREHEMU WANAFANYA BIASHARA HIYO YA
  KUUZA COPY HIZO
  MSEMO HUU KWELI UPO? KUFA KUFAANA! JE TABIA
  HII NANI ALAUMIWE NANI AIKOMESHE?

  Kwa hisani ya MichuziJr.
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,838
  Trophy Points: 280
  jamani ila pia wanaonunua ndio wabaya
   
 3. luck

  luck JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 771
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Wasanii wenzake washatangaza viingilio vya mechi wanayodai ni ya kumuenzi SK pale uwanja mkubwa wa taifa...KUFA KUFAANA!
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mwambie mwakifamba(La prezda wa shirikisho la wasanii) alifuatilie hili au usikute washaridhia hyo issue!
   
 5. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mimi pia nilishtuka jana pale JKNIA, nilipokiona kitabu (kijarida) hicho kikiuzwa! Ila kilikuwa kinauzwa sh. 5,000/=!
  Ama kweli KUFA KUFAANA!
   
 6. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tatizo liko wapi? Baada ya mhalifu wa ubakaji na ukandamizaji kufa watu hupenda kujua hili na lile kuhusu maisha yake. Hata siku alipouawa Osama, watu walihaha kwenye mitandao kusaka habari za maisha na kufa kwake.

  Au wewe ulitakaje?
   
Loading...