Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Source clauds Watu wakimbia mji. Yadaiwa ni hujuma za watu flani flani na nimadai ya wakulima wa korosho
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwangu mimi binafsi kwa jinsi nchi yangu inavyokwenda na kuendeshwa vibaya,Jk na mwona ni Rais asiyejua majukumu yake na nini anakifanya hapo magogoni na hii yote ni makusudi kubwa, Rais ni baba...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
kesho alhamisi saa tatu kamili usiku tbc mkapa ataonyeshwa akihangaila kuwajibu watz faida za sera yake ya uwekezaji
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarii wadau, katika pitapita hapa na pale nikakutana na hii hapa kutoka newsweek. Kinadada kupenda kuwa spanked. hebu pitia kidogo, kind of strange and interesting though to know, how the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi kwann wabuge wa ccm wanakuwa wakali kwenye hela tu? kwann mambo mengine hata km hayana msingi ni ndiyo na kuwazomea wapinzani ? hawajapewa gawio lao nn?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Temeke Abass Mtevu na dereva wake ambaye jina lake hakutajwa, wamenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari wakiwa njiani kuja Dar es Salaam. Akitoa taarifa bungeni mchana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa kamati ya mazishi ya Kanumba Mtitu G,amesema kuwa wao hawajachakachua pesa na michango mbalimbali iliyotolewa kwa ajili ya msiba wa Kanumba. MTITU amesema kuwa kamat yake ilianza...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
]=Pongezi za dhati kwa mh.Nape na Sekretarieti kuu ya CCM kwa kuwamwagia tindikali magamba ili yajipukutishe yenyewe.....hakika CCM mpya itazaliwa na kujenga misingi bora ya uongozi.Hakikisheni...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Diwani wa CCM Kata ya Sombetini Arusha ajiunga na Chadema!!Anatangaza now!!!! Nimeforwadiwa hii taarifa muda huu... Mwenye habari kamili atujuze zaidi tulio mbali na eneo husika.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wana ukumbi Kwa wote ninapenda kuwaarifu siku ya Al'Khamis 19 April 2012 kutakuwa na kisomo cha Hitma ya Mzee Sheikh, Eng, Dr Abdullah Saleh Al Harthy itakayosomwa katika sehemu mbalimbali ...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watu wengi nchini Ujeruman wamefikia hatua ya kuacha magari yao na kutumia usufiri mbadala kama mabasi, treni au baiskeli kukwepa gharama za kupanda bei kwa mafuta. SOURCE DW, sura ya Ujeruman
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati wa kikao kinapoendelea sasa, Sendeka na kahamia kwa Waziri Mkuu na wanateta kwa kina. Huenda ni kuhusu hali tete inayovuma kuelekea Simanjiro, na jitihada za kuuzima moto huo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KWA HAABARI ZAIDI SOMA DAILYNEWS wakati serikali ikihangaika kujikwamua kutafuta ndege nyingine kwa ajili ya ATCL Kamati ya Bunge imetoa ripoti serikali inatakiwa kulipa zaidi ya billion 100 kwa...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Chanzo: mpayukaji blog Rais Fernandez pichani Rais mpya wa Argentina Cristina Kirchner Fernandez ameamua kutaifisha kampuni kubwa ya mafuta nchini humo ya YPF oil baada ya kugundua kuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kuna hii imani kwa watu wengi wa nje ya familia za weusi wanaamini kuwa mtu mweusi ni rahisi kushawishika.Ingawa matukio ya karibu ktk jamaa zetu yanonekana kusupport hii nortion.Ila kuna maeneo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Serikali ya Tanzania imepiga hatua kubwa katika kutekeleza mpango wa ubia wa uwazi serikalini (Open Government Partnership-OPG) kama ilivyoahidi katika kikao kilichopita Disemba 2011...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mr James Olle Millya CCM wanadai kuwa Millya kajitoa kisa alichujwa kugombea EALA.........hiii kauli ya wanamagamba inanifanya niangalie wale ambao kamati kuu ya ccm iliwapitisha........na...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
A new study conducted by the Pew Research Center’s Internet & American Life Project and Elon University’s Imagining the Internet Center revealed that the majority of survey respondents believe...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Akiwa mmoja wa wanawake kupitia tiketi ya ccm, shyrose bhanji ajinadi kwa kujiamini kwa lugha iliyosafi na kwa mbwembwe bungeni leo katika kinyanganyiro cha kugombea uwakilishi wa tanzania katika...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
mbunge mwakilishi wa tanzania katika bunge la east africa leo asubuhi akiwa katika mahojiano na mtangazaji wa TBC1 amesema watanzania wasiogope kuchuana na wakenya na waganda kwani tatizo si ligha...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom