Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Zoezi la Usafi wa mazingira wilayani Biharamulo limeingia Doa pale DAS ambaye ni mdau mkuu wa zoezi hilo kufuatia agizo la RC mkoani Kagera Jana Kupambana na askari wenye hasira waliomtembezea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo ni siku nzuri sana kwangu,, kati ya siku nyingine nyingi ambazo nilipata fursa ya kufatilia matangazo ya Bunge na kuyafurahia....! Leo hapakuwa na mkwaruzana mkubwa sana kati ya wabunge na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baba wa taifa alisema tupige vita maadui watatu katika taifa letu, ambao ni UJINGA, MARADHI, Na UMASKINi, lkn kwa sasa ameongezeka adui mwingne wa kupigwa vita kwa kushindwa kufanya kazi ambaye ni...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
chadema- ni chama kinachotupeleka kwenye ukombozi wa ki fikra,kimatendo,kisiasa na kielimu pia. CCM -imefanya mazuri mengi yaliowafikia wachache ndani ya 50YRS UHURU na kamwe hayakuweza kukidhi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
dah,ndo maana hatuendelei. saa nzima magar yamecmama ksa msafara ukizingatia barabara za katkat ya jiji la mza ni moja. inaboa jaman
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ktk taarifa ya habari saa saba mchana naibu waziri wa Elimu kamvua madaraka mwl mkuu mmoja wa shule ya sekondari mkoani Dodoma mara baada ya kufanya ziara inayodai ya kushtukiza. Kisa cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwananchi lahujumiwa Dodoma GAZETI la Mwananchi linalochapwa na Kampuniya Mwananchi Communications Ltd (MCL), juzililigeuka bidhaa adimu mjini Dodoma baada ya watu wasiojulikana, kulihujumu na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
WanaJF kabla hujasoma post hii, hebu angalia Avatar yangu kwanza. Naam, tukitaka mabadiliko ya kweli kwenye nchi hii, tunatakiwa tuchukue maamuzi magumu na mazito ya kuikana CCM na mambo yake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimefuatili vikao vya wabunge kwa muda sasa,ila cha kusikitisha sana wabunge wanalalamika tu,na kukubali majibu rahisi kutoka kwa serikali. KWA HYO WANANCHI WENZAGU TUCHUKUE JUKUMU LA...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Kutokana Kashfa mbalimbali za Ubadhilifu wa fedha za UMMA zilizo tolewa na Kamati mbalimbali za mashirika ya Umma ndani ya BUNGE KILA na serikali kuwafumbia Macho,Mi naikumbusha tu SERIKALI kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukiangalia Bunge linaloendelea Dodoma utadhani kuna jipya kwa chama tawala.Wanatumia hira hiyo ya kuongea na kushutumiana ili kupoza joto la Arumeru linaloongezeka kila kukicha.Nawakumbusha...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Taarifa za kukamatwa raia kuhusiana na kuchomwa kwa ofisi ya kamanda wa polisi ni uonevu na matumizi mabaya ya nguvu za dola. Haingii akilini kusikia eti ofisi ya kamanda imechomwa moto. Mbona...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani wamalawi wana mambo, eti wanaamini kwamba mtu sahihi anayeweza kuongoza nchi yao ni yule tu ambaye jina lake linaanzia na herufi b. Mfano banda kamzu bakili muluzi bingu wa mutharika banda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Waache watu wafunguke, waongee kinachowakela,wafichue maovu bila kutishwa,unawashirikisha watu kutoa mawazo yao,wanakukosoa unapokosea,ukarimu,ukiona mtu anatawala kwa mabavu, dikiteta hakuna...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
jana nimekwenda bank ya nmb-temeke,kwenda kuchukua pesa kwenye atm,nilitoa tsh.laki moja cha ajabu wakati nazihesabu nikagundua kuna sh.elfu thelathini(wekundu 3) ni bandia!nikatoka nikaingia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hongereni mnaojivua gamba, naamini hii ni njia mojawapo la kuleta mabadiliko, kwani tumechoka, na hali ngumu ya maisha kupanda holela kwa vyakula. Mfano kiroba cha unga kimepanda na kufika 18500...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuukana uraia wangu Ninamawazo mengi sana juu ya mustakabali wa Tanzania. Nawaza sana juu ya hali ya uchumi wa Tanzania miaka kumi ijayo. Kama akutakuwa na mabadiliko ya dhati ya kiutawala. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Hapa nasikiliza TBC habari TV, nasikia sauti mbilimbili, namsikia shyrose kwa mbaliiii na spika pia duh haya mambo gani jamani TBC taifa??? Shyrose anashukuru na habari ya Tandahimba juuu
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Shirika la ndege la taifa pamoja na ndege inayobeba nembo ama bendera ya taifa ni namna mojawapo bora sana ya kutangaza taifa nje ya nchi,kwani ndege inaposafiri kwenda nje wenyeji na wasafiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu watz tuhamasishane kufanya utalii wa nje na ofisi kubwa wameahidi kutoa ufadhili kwani kilimo kwanza na mikopo elimu ya juu imeonekana kutofanya vizuri. 1. Wanaotaka kwenda kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom