Diwani CCM aingia CHADEMA - Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani CCM aingia CHADEMA - Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jmnamba, Apr 18, 2012.

 1. j

  jmnamba Senior Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Diwani wa CCM Kata ya Sombetini Arusha ajiunga na Chadema!!Anatangaza now!!!!
  Nimeforwadiwa hii taarifa muda huu... Mwenye habari kamili atujuze zaidi tulio mbali na eneo husika.
   
 2. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,079
  Trophy Points: 280
  Mhhhhhhhhhh tutayasikia mengi mwaka huu
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hii ingekuwa kule kwenye siasa tungepata details fasta.
   
 4. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135  Tuombe mungu isiwe FAD.
  Fad ni wimbi la kitabia ambalo msingi wake ni kuiga mambo, kufuata mkumbo bila tafakuri ya
  kutosha. Na mikumbo ya aina hii hutokea zaidi katika rika za ujana, japo hata watu wazima
  wanaweza kufuata mkumbo. Vijana wapo more susceptible. Kwa hiyo FAD inatofautiana
  na maamuzi makini kwa sababu mtu anafanya kitu bila kufikiria repercussions zake,
  au niseme madhara yake. Watakuwapo watakaoingia Chadema kama Fad, halaf miaka miwili mitatu
  baadaye wanaweza wakaamua walifanya kosa na kukihama chama. Katika siasa, wimbi hilo la kuhama
  litaathiri morale katika chama na kuleta negative impact.

  My take kwa Dr. Slaa ni hii hapa:

  Tengeneza idara ya ideology haraka kupindukia kila anayehamia Chadema apikwe
  kabla ya kupewa kazi au kuwa karibu na "jikoni" katika ngazi yoyote ile ya chama.
  hiyo orientation na indoctrination vitatoa muda wa kuwasoma hawa wapya, kuwaweka sawa na
  kuwachambua ingaliu kwa kiwango fulani cha accuracy, hata kama si 100% kwa usalama wa chama.
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Naona Mungu kaamua kuwalipa UMAUTI CCM kwa dhambi zao kwa umma.
   
 6. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Huyo diwani si ndio yule alihamaga CHADEMA na kujiunga na CCM, amerudi tena nyumbani?????

   
 7. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,195
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Mkulu nae hajaamua?
   
 8. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280

  Kwa jinsi walivyokabwa makoo hawa magamba.

  na bado tunasubiri Vigogo wa CCM, watahama wengi tu kuingia CDM kwani wameshaona kule CCM hakuna FUTURE tena.

  Natumaini kabla ya mwaka 2014 tutaambiwa Pinda na Kikwete wamehamia CDM :heh::heh.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 9. I

  ISIMAN Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mungu ibariki africa mungu ibariki tanzania changes are inevitable
   
 10. MWANAWAVITTO

  MWANAWAVITTO Senior Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ni kweli. Diwani wa kata ya SOMBETINI-Arusha Mjini CCM ndg ALPHONCE MAWAZO amejiunga na CHADEMA. Uamuzi wake huo ameutangaza hadharani kupitia kituo cha redio cha SUNRISE jijini hapa mapema leo asubuhi.
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wanaofanya hizo dhambi ndani ya ccm si ndo hao hao wanaohamia cdm?
   
Loading...