Hongera mh.nape kwa kuyamwagia tindikali magamba yote..sasa yanapukutika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera mh.nape kwa kuyamwagia tindikali magamba yote..sasa yanapukutika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by greenstar, Apr 18, 2012.

 1. g

  greenstar JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ]=Pongezi za dhati kwa mh.Nape na Sekretarieti kuu ya CCM kwa kuwamwagia tindikali magamba ili yajipukutishe yenyewe.....hakika CCM mpya itazaliwa na kujenga misingi bora ya uongozi.Hakikisheni mnaisimamia serikali vizuri ili SERA za CCM zitekelezwe bila WOGA kwa manufaa ya TAIFA nzima.CCM inahazina ya wasomi wanaoweza kuleta mageuzi ya kiuchumi bila kuwa tegemezi.Naombeni msirudi nyuma hata 1mm katika hili,tumieni mbinu zenu kusambaratisha mtandao wa MAGAMBA haraka sana,kwani hilo ndiyo tumaini JIPYA tofauti na CHADEMA kusubiri MAGAMBA yahamie kwao ili wakaandae MAJUNGU na kuwachafua VIONGOZI wa CCM....PENYE ukweli UONGO hujitenga!!!! Haiwezekani gamba kuwa msafi akihamia CHADEMA hata kwa 1%,kwa vile hata viongozi wana ROHO za magamba ndiyo maana wanafurahia wakiona jumuiya yao inaongezeka.Pia nawashauri kumchunguza SABODO yule mdosi ambaye PESA yake hainakazi xaidi yakutafuta umaarufu kwenye VYOMBO vya HABARI ati anawachangia CDM wakati hapa DSM kuna omba omba kibao wanahitaji misaada ya hali na MALI,kuna wagonjwa wengi sana ambao wana COMPLICATED cases zinazohitaji operation za ma milioni ya FEDHA lakini hawasaidiwi...HUYU ni MNAFIKI,CCM hatupo hivyo,ni heri anyang'anywe uanachama ili ajiunge na hao mgambo wa MTEI.Ni muda MUAFAKA kwa magamba mnao sitasita kuachia ngazi zote mara moja ili msichafuke zaidi...igeni mfano mzuri wa RA.....

  Kidumu chama cha MAPINDUZI.......kilaaniwe chama cha wahuni na majambazi na kife mara moja ili kisicheleweshe MAPINDUZI ya KWELI.
   
 2. R

  Radi Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sawa tumeshakusoma ,,greenstar" sasa unaweza kwenda Lumumba kwa Nepi kuchukua mshiko wako wa Mboga watoto wasije kufa njaa.
   
 3. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  hahaha, ama kweli magamba mna matatizo. Ingekuwa kweli wana nia hiyo ya kujivua gamba wasingesubiri wajitoe wangewatoa wenyewe
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hahahaha mfa maji haishi kutapatapa. greenstar mmmeiba vya kutosha sasa tunawaweka bench wezi wa kubwa wa mali ya UMMA CCM
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Haha haha abunuasi wapo wengi sana
   
 6. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gamba ni kubakia magamba na wala siyo kujiondoa magamba..Malya amejivua gamba kwa kuondoka magamba. Msitake kupotosha watu,jueni watu wana uelewa zaidi ya mnavyo dhania. Ndiyo maana mpaka leo mnadhania kushinda uchaguzi ni kugawa t-shirt, kununua pombe, kugawa pilau, kujaza karatasi zilizo pigiwa kura kwenye chupa za chai na hotpot n.k. Yaani hamna mbinu mpya. Tunawaangalieni tu! fainali 2015
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  bahati nzuri haujasema ni chama kipi cha majambazi,
  ILA CHAMA CHA MAJAMBAZI KINAFAHAMIKA NA KILA MTU, NA KWELI MMELAANIWA!
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  tatizo magamba wanadhani watu wote lazima wawe wasafi, mfumo ndo unatakiwa kuwafanya watu wawe wasafi ndo maana tumempokea aje kwenye mfumo wa usafi, EEETI GAMBA MBONA HAMSEMI UGAMBA WAKE UPO WAPI!?
   
 9. g

  greenstar JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  CHAMA CHEYE WAVUTA UGOLO na BANGE kwa wingi ili wapate mzuka wa MAANDAMANO...clear??????????
   
 10. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  You need to wake up from slumber and nonchalant.
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Shetani akizeeka anakua malaika.
   
 12. K

  Kodemu Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Greenstar ni riz1, so ckushangai ww gamba kumsifia gamba mwenzio nape. Najua ht ww unataman kuhamia huku ila unaona so!!
   
 13. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi wewe mhuni, hujui kuwa Mwl. Nyerere naye alikuwa akiandamana tangia enzi za kudai Uhuru mpaka anatembea kutoka Butiama mpaka Mwanza kwa miguu? Je, naye alikuwa amevuta ugoro na bangi? Kwanza wewe huna hata hadhi ya kusema lolote, kamwambie Baba yako atekeleze ahadi na sio kila siku kutongoza wanawake na wengine kuwafanya vimada ndani na nje ya nchi! Badala ya kuongoza nchi, anaongoza kwa uhuni........Shame on you!
   
 14. g

  greenstar JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unataka niwe BABA YAKO???????????????????
   
 15. M

  MKUU WA KAYA JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  CCM ni kama mfa maji.Time will tell...........muda wao wa kula kuku unakaribia kuisha.Saa ya ukombozi ni sasa.
   
 16. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Baada ya tindikali itafuata Polonium!
   
 17. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Wewe umeeona ombaomba wa udsm tu umewasaidia nini?
   
 18. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Utakuwaje Baba yangu wakati tayari yupo Baba aliyesababisha nikazaliwa? Kweli akili ya watu wa Chama cha Magamba ni sawa na ya Makamba, upayukaji na uropokaji kama huu utadhani wana ugonjwa wa Brain Concurssion!
   
 19. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Utakuwaje Baba yangu wakati tayari yupo Baba aliyesababisha nikazaliwa? Kweli akili ya watu wa Chama cha Magamba ni sawa na ya Makamba, upayukaji na uropokaji kama huu utadhani wana ugonjwa wa Brain Concurssion!
   
 20. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  MAPINDUZI YA KWELI?UNA MAANA GANI?umeshatambua kuwa watanzania kwa miaka 50 sasa wapo jela sio?
   
Loading...