Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inapokuwa ni kawaida kwa rais kutafuta na kuwaomba wageni hususan watu weupe kuja kuwekeza Tanzania kila anaposafiri kwenda nch za nje, Balozi zetu zinafanya kazi gani? safari hii Brazil,ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani watanzania tunalia na tunalia sbabu ya umaskini uliokithiri kwani tuna resources za kutosha ila sera mbovu na uongozi mbovu ndo chanzo Ninani akubali kujitwisha guia hili la misumari na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika uchaguzi wa EALA leo CCM tumeonyesha vichwa vya maana upinzani longolongo tu
0 Reactions
30 Replies
3K Views
hivi malaria sugu na dem wake faiza foxy wako wapi?
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Dear All, On behalf of the committee representatives, kindly be informed that the round table discussion with the Government has taken off after solving some obstacles including court orders and...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mara nyingine narudi jamvini kwakusema BOT Imevamiwa na mafisadi. Ndugu wa Tanzania amin msiamin Mpesa, tigopesa, zap,airtel money vinauwa mabank, nakwakuwa tunaserikal kipofu isio nawataalamu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
deleted
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau!!! Nilisikiliza moja ya Stesheni za Redio leo Asubuhi, kipindi cha Magazeti ya Leo. Kuna taarifa ya kuhusu Report ya CAG kuhusiana na UFISADI. Mtangazaji alikuwa anasoma hiyo taarifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mhasibu wa zamani wa duka la DIY mjini London ambaye alikuja kuwa gavana nchini Nigeria amefungwa jela miaka 13 kwa kufanya udanganyifu wa fedha karibu £50m ($77m). James Ibori, gavana wa...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Naomba msaada nina modem ya airtel ni nyekundu nasumbuka sana kuweka vocha kila mara ni lazima nitoe sim card niweke kwenye simu ndiyo niweke vocha hivi haina option ya kuweka vocha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa ndio walioshinda kuwa wabunge wa Afrika Mashariki ,Shayrose Banji,Anjela Charless Kizigha,Mwinyi Hassan,Taslim Twaha Issa, Kesi Ndelakindo Perepetua, Kimbisa Adam Omary,Murunya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ktk shuguli za bunge la jamhuri ya muungano linaloendelea huko dodoma tunasikitika hatutaliona tena, hii inatokana na tv tunayoitegemea ya star tv kutokuonyesha shughuli za bunge. Huku kwetu tbc...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wafanyabiashara wa kariakoo walio wengi wanatumia usafiri wa makontena kwa mizigo yao, nadhani ni sahihi kwa magari makubwa ya kontena kuzuiliwa kuingia katikati ya jiji sababu ya msongamano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau leo nilikuwepo baa moja .....sinza naangalia presentation za c.v za wabunge wanaotaka ubunge africa mashariki ila tulikuwa tunaangalia wanavyoji presents .....ila mbona wengine naona kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makofi kidogo ndugu wabunge. mpeni william kura ya NDIO ..tunamuombea kila la kheri pamoja na wagombea wengine
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mmiliki wa clouds ni ruge mkahaba au joseph kusaga? Na kipi ndo cha kwanza kati ya primetime promotion na clouds?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni nani alisema lowasa kutoa tamko leo kwa waandishi sijasikia chochot amesema nn na kwa nani
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kimonbo kazi kweli kweli mgombea wa CCM amemwita mama Makinda Mr Speaker, kazi kweli kweli
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nilikuwa nasoma magazeti ya zamani nikakutana na makala yenye kichwa cha habari hapo juu. Mwandishi Mihayo Ally amemchambua Steve Biko na harakati zake za ukombozi pamoja na harakati za Lema na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wanaJF wenzangu kilikoni mbona Rais Bush tena kwetu?tena naona kipindi hiki kaja kimya kimya,angalieni ardhi zinauzwa sasa tusije tukauzwa na sisi wenyewe.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom