Sendeka na Pinda wateta Bungeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sendeka na Pinda wateta Bungeni.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kaliro, Apr 18, 2012.

 1. k

  kaliro Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wakati wa kikao kinapoendelea sasa, Sendeka na kahamia kwa Waziri Mkuu na wanateta kwa kina. Huenda ni kuhusu hali tete inayovuma kuelekea Simanjiro, na jitihada za kuuzima moto huo.


  Source:picha ktk kikao cha Bunge kupitia TBC leo.
   
 2. E

  ENGINEER M Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana......
   
 3. maphie

  maphie Senior Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamaa, matumbo joto kwn chadema walimpa grace period wakifikiri n mpambanaji kumbe wapi; jimbo kalipoteza, hana jinsi tena
   
Loading...