kimbisa asema lugha sio tatizo katika ajira EA watanzania wasiogope | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kimbisa asema lugha sio tatizo katika ajira EA watanzania wasiogope

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Iron Lady, Apr 18, 2012.

 1. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  mbunge mwakilishi wa tanzania katika bunge la east africa leo asubuhi akiwa katika mahojiano na mtangazaji wa TBC1 amesema watanzania wasiogope kuchuana na wakenya na waganda kwani tatizo si ligha bali utendaji akieleza anasema wachina wanatisha duniani lakini hawajui lugha ya kingereza hivyo watanzania wanatikawa kuwa watendaji kwani si kazi zote zitahitaji kuongea au kupokea wageni ila kufanya matendo.

  hivyo watanzania wajiamini na wasiogope lugha ya kingereza kuwa kikwazo cha kupata ajira.

  source: TBC1 asubuhi leo
  nawasilisha
   
 2. m

  msizu New Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vyote viwili ni muhimu sana ivyo tusibweteke lugha muhimu
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ni kweli wakenya wanajua kingeleza na kiswahili so tusiogope hata kama ngeli ikiwa kama rose,my daily bread is from engineering and I'm politician by proffesional and I have company known as young ladies construction company!
   
 4. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,956
  Likes Received: 21,117
  Trophy Points: 280
  Hii habari ya kusema wachina,warusi,japan etc hawatumii kiingereza its a no-brainer!hawa wanajitosheleza kila kitu hawategemei mtu!na tusijidanganye upper class ya china,russia wengi ni us,uk educated,university za uk zimejaa wachina.warusi sasa wanaleta watoto uk kuanzia primary school.
  Kiingereza muhimu na lazima kwa nchi kama yetu
   
 5. R

  Rev. Damasus Mkenda Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh. Kimbisa usitudanganye, unapoingia katika Ulimwengu wa Kimataifa Lugha za Kimataifa kama Kiingereza ni muhimu sana na hatuwezi kusema kwamba tuangalie utendaji kwanza hapo tunakosea. Pia hatuwezi kujilinganisha na mataifa makubwa na yaliyoendelea kama Russia, Japan, China nk. Miswada mingi ktk EALA ni lugha ya Kigeni, hoja nyingi ni kwa lugha ya kigeni sasa tunataka kujifariji na kujidanganya na kakiswahili ketu ka hapa Bongo. Mimi nina ushahidi wa umuhimu wa Kiingereza, ninakutana na wachungaji wenzangu kutoka Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda, Zambia, Malawi na nchi nyingine huwa naona shida inayowapata watz. Wengi kutoka nje hupenda kuongea na kutoa mada zao kwa Kiingereza kwa sababu ndicho wanaflow vizuri sasa kama hujui unaambulia patupu mpendwa. So let us not deceive ourselves my fellow Tanzanians. Stay Blessed.
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Niliwasikiliza wote waliojieleza kutaka kutuwakilisha kwenye bunge la Afrika Mashariki na kusema kweli huyu Kimbisa was not one of the people who I thought would be elected!! Katika kujieleza kwake alikuwa anapayuka tu compared to others like Mndolwa na Rweikiza who deserved the slot [based on their performance ] more than Kimbisa; he is known to spend alot of money bribing during elections and given the background of ccm MPs ,he must have spent a fortune to buy that seat!!!!
   
 7. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  lugha muhimu.kwani kabla hujaonesha utendaji wako wa matendo kwanza itakupasa kujieleza kwa lugha namna utakavyochapa hiyo kazi kwa matendo.
  ndio maana hata ufaransa ugerumani na china wanavyombo vya habari kwa lugha ya kingereza.
  cha msingi tuwe na misingi mizuri ya lugha hizi za kigeni, tujiamini na tuchape kazi kwelikweli.
  alikuwa sahihi aliposema watanzania wachapa kazi wakilipwa vizuri ila hawajiamini inapokuja hapo katika lugha.
   
 8. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  tatizo katika lugha tanzania lina mlolongo mrefu, walimu wenyewe hawajui vizuri lugha hii ya kingereza, vitabu vyenyewe vya wakina nyangwine, vitabu vya kueleweka kumfunza mwanafunzi wa lugha kwa kweli ni vichache,toka primary anabonga kiswanglish hadi chuo kikuu tutakuwa competent lini na kwa vp.
  tukitaka kushindana vizuri hatuna budi kujikita katika hili la lugha vizuri zaidi.

  lakini pia tujiamini hata kama ndio mambo ya international relationship
   
 9. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  kingine tuwe na tabia ya kutafuta maarifa na ujuzi zaidi unajijua wewe ni mbunge au kiongozi kwa nini usijiendeleze katika taaluma na fani mbalimbali na lugha mbalimbali tunatafuna tu mishahara na malupulupu hatujiendelezi halafu tunakutana na wenzetu tunalalamika namna tunavyowekwa pembeni automatical.
  tujifunze
  tujiendeleze
  tujihabarishe
  tutafute maarifa kila siku.
   
Loading...