Kumbe bei 'juu' ya mafuta sio Bongo peke yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe bei 'juu' ya mafuta sio Bongo peke yake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SI unit, Apr 18, 2012.

 1. S

  SI unit JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Watu wengi nchini Ujeruman wamefikia hatua ya kuacha magari yao na kutumia usufiri mbadala kama mabasi, treni au baiskeli kukwepa gharama za kupanda bei kwa mafuta.
  SOURCE
  DW, sura ya Ujeruman
   
 2. bona

  bona JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  yeah sio kwetu tu ila uchumi mbona hatuwaigi? na public transport yao iko organised hata kwetu bila hata ya bei ya mafuta kua juu still tungepanda mabasi au treni!
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Uzuri tu ni kuwa wenzetu wana maisha predictable na organized na therefore wana ALTERNATIVE ya kutumia usafiri wa umma. Watu wao wana discipline ktk aspects muhimu za maisha. Kwene semi-anarchy state like Tz ambapo kila mtu ana ndevu kama kambale it will take a zillion light-years to have 'acceptable' public transport.
   
 4. j

  jmnamba Senior Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yep suala la miundo mbinu safi sana ukilinganisha na kwetu! Sisi si tuna sifa ya kulalamika tuu... Taasisi husika wao ndio mule mule. Uki-opt public transport Tz aisee kwa wengi itakua ishu. They will only twist budget kaisha yaendelee.
   
 5. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,070
  Trophy Points: 280
  Ni bei gani kwa DM na ukilinganisha na Dola kwa shilingi za kitanzania?
   
Loading...